aminangalo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 974
- 189
Martin Munisi mwenyekiti UVCCM Arusha ametangaza kumvaa Mbowe jimbo la Hai nipo mkutano hapa Arusha
Martin Munisi mwenyekiti UVCCM Arusha ametangaza kumvaa Mbowe jimbo la Hai nipo mkutano hapa Arusha
Mwambie atamaliza mtaji wake wa madini bureMartin Munisi mwenyekiti UVCCM Arusha ametangaza kumvaa Mbowe jimbo la Hai nipo mkutano hapa Arusha
Martin Munisi mwenyekiti UVCCM Arusha ametangaza kumvaa Mbowe jimbo la Hai nipo mkutano hapa Arusha
Pale hata munisi hana haja ya kutumia nguvu kubwa. Wananchi wameshaujua ulaghai wa mbowe. Na hakuna alichokifanya cha maana jimboni kwake toka apewe ridhaa.
angekuwa upande wetu tungemtimua, msaliti mkubwa huyo!!!!!!!!!!
Labda kama atamvaa kwa kuwa wakala wa kuhesabu kura!
Martin Munisi mwenyekiti UVCCM Arusha ametangaza kumvaa Mbowe jimbo la Hai nipo mkutano hapa Arusha
wewe utahangaikaje na mtu ambaye jina lake tu linaeleza hali yake ilivyo bhana !Mbowe anakubalika, Mbona alishachaguliwa mara mbili?