Mwizi wa hela kupitia tigo Pesa akamatwa kimara

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Mpeka dimosi ni kijana anaejihusisha na wizi wa hela kupitia namba za simu.Mpaka sasa yupo kituo cha police kimara mwisho.

Waandishi wa habari mje kupata taarifa hizi tumechoka kuibiwa kabisa ..


UPDATES
Huyu jamaa wanacho kifanya wanapata namba ya siri ya mtu mwenye akaunti ya TIGO pesa then,wanaenda kwa wale freelanser wa tigo wana swap namba yako,tena wanaweza kukupa hata elfu tano badala ya elfu mbili,yule mwenye namba hiyo inakuwa kama imejiblock,wakati huo wao wanaenda kutoa mkwanja wote alafu wanatupa hiyo laini...ukienda kushtaki umeibiwa system itaonyesha kuanzia siku line hiyo ilipokuwa swaped na code namba ya wakala wa tigo na hiyo transaction ilivyofanyika...jamaa ndo wanakuwa wameiba...jama tulimbana aseme formula wanayoitumia kupata namba ya siri hakusema mpaka alipopelekwa MBEZI KITUO CHA POLICE AKITOKEA KIMARA KITUO KIDOGO....

Hata hivyo alipoachiwa kabla ya kuwekwa rumande alikutwa na line MPYA TANO,VITAMBULISHO VYA KUPIGIA KURA VI TATU KIMOJA KIKIWA CHA KWAKE NA LINE ZINGINE TATU ZA VODA.

Na hiyo namba ya jana waliotaka kuiswap ni ya afisa police.Ntawajuza nini kilichoendelea.
 
Kaka weka uzi vizuri basi maana haujaeleweka vizuri anayeiba kwa mfumo upi maana tumeibiwa sana!
 
Pole zake. Nimegundua hawa wezi wana shiriki na wafanyakazi wa wa mitandao na wengine wengi. Kupungua ni ngumu.
 
Back
Top Bottom