Mwizi mwenye aibu asiye na huruma

Nashukuruni wale mlionipa pole na changamoto nyingine. Zaidi namshukuru Mungu leo nimerejea nyumbani na mgonjwa akiwa na nafuu. Kweli Mungu ni mwema.
 
Pole sana,inawezekana wala sio mwizi ila ni shetani tu kamwingia akaingiwa na tamaa,akaamua kuchukua kilichomo,kama ni haki yako Mungu atakurudishia na hata kukuzidishia.
 
POLE SANA. SIKU MOJA NIMESHUHUDIA KWENYE HOSPITALI MOJA KUBWA TU HAPA DAR WADADA WAWILI WAKIJIFANYA NA WAO WAGONJWA WAKAJITAHIDAI WAKAJISOGEZA KARIBU NA MDADA MMOJA ALIYEKUWA HAYUPO MAKINI NA POCHI KWA SABABU ALIKUWA NA MTOTO NA HAKUWA NA MSAIDIZI. GHAFLA WAKAPOTEA KAMA UPEPO TAHAMAKI DADA HAONI POCHI TUKAMSAIDIA KUWAFUTALIA NJE YA GETI TUKAAMBIWA WAMESHAKUA TEKSI WAMELALA MBELE. KWA HIYO UWAPO HOSPITALINI, KANISANI, MSIBANI N.K. KUWA MAKINI SIO WOTE MPO PAMOJA KWANI HATA KWENYE MSAFARA WA MAMBA NA KENGE WAPO!
 
Lete pichaaa ..!

wallet-367975_960_720.jpg
 
Back
Top Bottom