mwizi kwenye daladala

charger

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
2,320
1,369
Mzee kutoka shamba kaibiwa pesa kwenye daladala k'koo - mbezi.Mzee katoa tangazo '' tafadhali aliyechukua hela yangu arudishe haraka kabla sijafanya tukio la mwaka 78'' Mwizi kusikia hivo jasho likaanza kumtoka,mzee akarudia kauli yake.Mwizi ikabidi ajisalimishe akatoa pesa na kumrudishia mzee,mzee akamwambia kwakuwa umerudisha mwenyewe nimekusamehe,safari ikaendele.Abiria wakawa na hamu ya kujua mwaka 78 huyo mzee alifanya tukio gani? Mmoja wa abiria ikabidi amwulize mzee,mzee akamwambia,mwaka 78 nilitembea posta mpaka gongolamboto baada ya kuibiwa nauli!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom