Mwizi huyooo,,,,, piga huyo huyoo,,Jairooo huyooo

matawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
2,052
242
Ni siku ya furaha mno kuona majizi ya nchi hii yameanza kukamatwa maana zamani yalikuwa yanaiba usiku sasa yanapora mchana kweupe. Ni ajabu cag pamoja na kulipwa vizuri, kusoma kwa kodi za wananchi anafanya ubabaishaji mpaka kamati ya bunge inakuja mfundisha kazi. Yaani mtu kalipwa 20000 lakini watu wanaongeza moja mwishoni inakuwa 120000. Pumb,,,f kabisa
 
eh bwana eh! Kwahiyo huyu ndio ameshakamatwa? Nina bonge la mchi akikatiza hapa nammaliza kabisa. Nalog off
 
Luhanjo huyoooooo,
CAG Utouh huyooooooooo,
JK huyoooooooo! Ah sory nimekosea! Ngeleja huyooooooo!
 
Haya malipo ya posho kwa watumishi wa Serikali ambayo yaliongezwa kwa lakhi moja kwa kila siku kwa kuongeza "1" upande wa kushoto kwa kila aliyestahili kulipwa kati ya Shs 20,000 na Shs 80,000, yanathibitisha kukithiri kwa wizi na ubadhirifu wa fedha za umma unaotisha katika Serikali ya sasa.

La kusikitisha na kutishia uwepo wa uongozi bora katika nchi yetu, ni kwamba hata Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (Controller and Auditor General) hakuweza kuona huu udanganyifu mpaka Kamati ya Bunge ilipougundua. Na kama aliuona wizi huu na kuufumbia macho kwa maksudi, basi hastahili kuongoza Idara muhimu kama hiyo na aondolewe mara moja.

Kwa upande wa David Jairo, kwa kubuni kughushi ili yeye binafsi na wasaidizi wake waongezewe Shs lakhi moja kila siku, inathibitisha yeye ni mwizi aliyekubuhu, na anastahili kutiwa mbaroni na kushtakiwa chini ya Sheria ya Kuhujumu Uchumi (Economic Saboutage Act).
 
Kichwa cha uzi kimetulia. Napendekeza hii mijizi tuichukulie sheria mkononi, popote wanapoonekana watupiwe mawe au japo kuzomewa kwani serikali hii kishikaji ya Kikwete hawa watapeta tu na wataondoka na mafao ya kutakata. Kwa kweli nchi yetu haijawahi kuwa rais dhaifu kama Kikwete. NAILILIA TANGANYIKA YANGU.
 
Rafiki yangu Matawi, Heading ya Thread yako ingefaaa kutumika katika Nchi kama China. Kule China Wezi kama hawa kina Jairo huwa wananyongwa hadharani kwa sababu ya kuiibia Nchi, kuiba kodi za Wananchi.
Lakini kwa Nchi kama Tanzania, Subiri Uone.
 
Kweli mkuu, si unaona hata EL anapewa hadhi ya WM mstaafu. Inakera sana.
 
Kichwa cha uzi kimetulia. Napendekeza hii mijizi tuichukulie sheria mkononi, popote wanapoonekana watupiwe mawe au japo kuzomewa kwani serikali hii kishikaji ya Kikwete hawa watapeta tu na wataondoka na mafao ya kutakata. Kwa kweli nchi yetu haijawahi kuwa rais dhaifu kama Kikwete. NAILILIA TANGANYIKA YANGU.
ila kweli kuna haja ya kutumia ile stairi yetu ya kitaa ya kumsalanga mwizi kwa mawe, lungu, mshale, matairi pamoja na petroli, ila sema hawa watu hawakatizi kitaani la sivyo tungeshawawasha moto
 
Ni siku ya furaha mno kuona majizi ya nchi hii yameanza kukamatwa maana zamani yalikuwa yanaiba usiku sasa yanapora mchana kweupe. Ni ajabu cag pamoja na kulipwa vizuri, kusoma kwa kodi za wananchi anafanya ubabaishaji mpaka kamati ya bunge inakuja mfundisha kazi. Yaani mtu kalipwa 20000 lakini watu wanaongeza moja mwishoni inakuwa 120000. Pumb,,,f kabisa
mimi katika watu wachache niliokuwa nimebakiza imani kidogo alikuwa CAG Utoh lakini kwa hii kashfa I have realized that was not the place to place my trust!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom