Mwizi anapokutana na Mchawi

Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,546
3,549
Pale ambapo Mwizi anaiba bila kujua anayemuibia ni mbobezi kwenye sayansi ya uchawi au ulozi

Basi bwana huyu wa huko nchini Uganda aliiba Subwoofa ya Mzee mmoja kwenye duka lakini katika hali ya kushangaza alipofika kwake alivamiwa na kundi la nyuki mwili mzima ambao hawakuondoka mpaka aliporudisha subwofa hiyo kwa mwenyewe

Jamaa analia kama nyau yani

 
Nawasubiri kwa hamu Wanasayansi wa JF, watueleze sababu za hao nyuki kumganda mtu, Kisayansi inasababishwa na nini?
 
Nawasubiri kwa hamu Wanasayansi wa JF, watueleze sababu za hao nyuki kumganda mtu, Kisayansi inasababishwa na nini?
Kisayansi huyo jamaa Mwili wake hasa ngozi ina melanin za asali na nta(wax) hivyo Nyuki huvutiwa navyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom