Mwizi akivaa vazi la padri au Kanzu, au hijabu tumschape tumwache?

Mess

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
661
181
Ndugu zangu DC a CCM wamekosa sera na sasa wanaingiza udini katika nchi hii. Yule mama ana capitalise kwenye hijabu, waislamu wamuulize kwa nini alikuwa anafanya kitu haramu wakati amevaa vazi la kidini? maaana binafsi naona alitenda kosa angevaa kimini na sio vazi lile la heshima kabisa kidini. Mwizi hata uvae nini utachapwa tu ukiiba au kuvunja sheria.

waislamu Mpuuzeni huyu dada ametumwa na yule aliyewadanganyishia mahakama ya kadhi.
 
Dini zetu vigeugeu!.......mara tunadhalilisha, mara mwizi apigwe! which is which? You will never know! Heri yangu
 
Mess, ni wapumbavu tu wachache wanaohodhi hata upuzi

Hivi wewe can you imagine wale malaya wa Tanga wanaoibia watu tena hawana hata chupi kwa kutumia hijab?? tuwalinde pia??

sipati akili kuhusu ati mhalifu simply kavaa hijab BTW si hijab kitenge kuzuia kipilipili ati anaanza kuruka kila kona kudai kadhalilishwa, hivi kweli ni RC huyo au?

personally i woudl say

we are over the shitty politics
 
Ndugu zangu DC a CCM wamekosa sera na sasa wanaingiza udini katika nchi hii. Yule mama ana capitalise kwenye hijabu, waislamu wamuulize kwa nini alikuwa anafanya kitu haramu wakati amevaa vazi la kidini? maaana binafsi naona alitenda kosa angevaa kimini na sio vazi lile la heshima kabisa kidini. Mwizi hata uvae nini utachapwa tu ukiiba au kuvunja sheria.

waislamu Mpuuzeni huyu dada ametumwa na yule aliyewadanganyishia mahakama ya kadhi.
Nakubaliana na ww kila kitu lakini hapo kweye Red sio kweli! weka bibi!
 
Ndugu zangu DC a CCM wamekosa sera na sasa wanaingiza udini katika nchi hii. Yule mama ana capitalise kwenye hijabu, waislamu wamuulize kwa nini alikuwa anafanya kitu haramu wakati amevaa vazi la kidini? maaana binafsi naona alitenda kosa angevaa kimini na sio vazi lile la heshima kabisa kidini. Mwizi hata uvae nini utachapwa tu ukiiba au kuvunja sheria.

waislamu Mpuuzeni huyu dada ametumwa na yule aliyewadanganyishia mahakama ya kadhi.

Ndugu yang kinachonisikitisha mimi ni pale Radio Clouds na KIBONDE walivyolishikia kidedea, amesoma gazeti lote la HABARI LEO huku akiwashutumu wanaharakati kwa kukaa kimya!... halafu anaongea huku akionyesha kufurahishwa na hatua iliyochukuliwa na Bakwata pamoja na taasisi nyingine za kiisilam.. napata sana uoga na naoma propaganda zinavyoendeshwa naiona Tanzania yangu ikipoteza umoja kwa jambo ambalo kwangu naona sio kubwa kiivyo... Waislam ni watu wenye busara sana natumaini hawatalichulia swala hili kwa jazba kiasi hicho, Sitaki kuamini kwamba BAKWATA wanatumiwa na CCM maana wamekuja Mbogo kuliko tukio lenyewe.
 
Hivi huyo mama angekuwa Mkristo kavaa rozali na ikakatwa au kupotea Maaskofu nao wangedai kuwa Ukristo umedhalilishwa? Kama angepigwa na kuumizwa na hijabu kichwani (kama kweli ni hijab), Masheikh wangesema Uislamu umedhalilishwa?

Viongozi dhaifu, wawe wa dini au siasa, siku zote hushabikia hoja dhaifu, na katika hili; hawa Masheikh wameonyesha jinsi walivyo dhaifu, na kwa kweli hatima ya nchi yetu na hata Uislamu wenyewe kwa kutegemea Viongozi wa dini wa namna hii, tuko mashakani.
 
Ndugu zangu DC a CCM wamekosa sera na sasa wanaingiza udini katika nchi hii. Yule mama ana capitalise kwenye hijabu, waislamu wamuulize kwa nini alikuwa anafanya kitu haramu wakati amevaa vazi la kidini? maaana binafsi naona alitenda kosa angevaa kimini na sio vazi lile la heshima kabisa kidini. Mwizi hata uvae nini utachapwa tu ukiiba au kuvunja sheria.

waislamu Mpuuzeni huyu dada ametumwa na yule aliyewadanganyishia mahakama ya kadhi.

Unaweza ukawa unafanya the right things in wrong way! kiutarabuti hata kwa polisi,polisi wa kike ndiyo anayeruhusiwa kumsachi mwanamke! na kumbuka kuwa issue yoyote inapomhusu mwanamke kudhalilishwa watu ni rahisi kusahau madhambi yake yote wakadeal na udhalilishaji sasa wewe usipokuwa makini unajikuta umeingia kwenye matatizo.Siku zote unaambiwa cheza kwa step! ukweli wamebugi wangewatumia akina mama wenzake issue isingefika hapa
 
wale Waislam waliotoa tamko wananjaa ! Uislam si dini ya kisiasa. Wanatudhalilisha n njaa zao.
 
Ndugu zangu DC a CCM wamekosa sera na sasa wanaingiza udini katika nchi hii. Yule mama ana capitalise kwenye hijabu, waislamu wamuulize kwa nini alikuwa anafanya kitu haramu wakati amevaa vazi la kidini? maaana binafsi naona alitenda kosa angevaa kimini na sio vazi lile la heshima kabisa kidini. Mwizi hata uvae nini utachapwa tu ukiiba au kuvunja sheria.

waislamu Mpuuzeni huyu dada ametumwa na yule aliyewadanganyishia mahakama ya kadhi.
Kwa mtu mwenye kuyatazama mambo kwa umakini atagundua CCM wanatumia siasa za maji ya chooni. Bi.fatuma ambaye ni DC amekutwa anafanya shuhuli haramu ya kunajisi demokrasia. Ni wajibu wa kila raiya kumkamata mualifu endapo polisi wakiwa mbali na tukio. Kesi ya msingi hapa ni DC huyu mualifu kujaribu kuingilia uchaguzi then itafuatia swala la mavazi ambapo kuvuka kwa hijab tupazungumzie kama tunavyozungumzia kiatu kilichomvuka mualifu uyu wakati wa kumkamata kwa nia ya kumpeleka mbele ya vyombo vya dola. Kwenye tukio hili la kumkamata maulifu huyu ambaye ni DC alikamatwa kutokana na nafasi yake ya u- DC na sio kutokana na Uislam wake. Issue ya kwanza ni ya kumkuta mualifu huyu DC aliyevaa hijab akifanya kikao kinyume na utaratibu na kukiuka misingi ya demokrasia na issue ya pili ni ya kuvuka kwa Hijab ya mualifu DC wakati wakumkamata baada ya kukutwa anainajis demokrasia .Je kati ya issue hizi mbili ni ipi hasa ina uzito na ilipaswa kuibua hisia ambazo zinaweza kuleta mitafaruku mpaka kupelekea mabaraza ya dini na wasemaji wa vyama kulalamika kwa kutoa matamko rasmi tena kwa kupitia press conference??
 
Ndugu zangu DC a CCM wamekosa sera na sasa wanaingiza udini katika nchi hii. Yule mama ana capitalise kwenye hijabu, waislamu wamuulize kwa nini alikuwa anafanya kitu haramu wakati amevaa vazi la kidini? maaana binafsi naona alitenda kosa angevaa kimini na sio vazi lile la heshima kabisa kidini. Mwizi hata uvae nini utachapwa tu ukiiba au kuvunja sheria.

waislamu Mpuuzeni huyu dada ametumwa na yule aliyewadanganyishia mahakama ya kadhi.
ayayayaaaaaa......!!! uyo atufai ni mwiz tena jambakuz tumpige chin atatuangamiza
 
Ndugu zangu DC a CCM wamekosa sera na sasa wanaingiza udini katika nchi hii. Yule mama ana capitalise kwenye hijabu, waislamu wamuulize kwa nini alikuwa anafanya kitu haramu wakati amevaa vazi la kidini? maaana binafsi naona alitenda kosa angevaa kimini na sio vazi lile la heshima kabisa kidini. Mwizi hata uvae nini utachapwa tu ukiiba au kuvunja sheria.

waislamu Mpuuzeni huyu dada ametumwa na yule aliyewadanganyishia mahakama ya kadhi.

Uisilam ni unyenyekevu mbele za mwenyezi mngu katika vipindi vyote jee huyo mama kazalilisha dini yake sichadema huyo ni mhalifu kama wengine mwizi akivakanzu na kwenda kuiba kibano kwakwenda mbele
 
Elimu ya Demokrasia inahitajika sana Tanzania. Ndungu zangu waislamu kuweni sana makini na matamko yenu, mtatumiwa na wanasiasa na kuishia kudharauliwa dunia nzima. "No permanent political friend."
Sasa kama ni kweli huyu mama karuhusu hizo picha zake za "kudhalilishwa" kutumika kwenye kampeni kuombea kura za CCM, huko sio kujidhalilisha zaidi?
 
vazi la mtu sii uadilifu wake!kwani mara ngapi tunazivua hijab za wake wa watu ktk uzinifu

Kuna malaya Tanga wanavaa hijab na wanabeba madawa ya kulevya.... kwa hili viongozi wa waislamu wameteleza, walitakiwa wawe na subra
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom