Mwizi akichaguliwa wakati wa kiapo anashika msahafu au biblia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwizi akichaguliwa wakati wa kiapo anashika msahafu au biblia?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by rugumye, Nov 4, 2010.

 1. rugumye

  rugumye JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamani nisaidieni, mwizi wa kura za wananchi tena kwa mabomu wakati wa kuapishwa hushika nini mkononi? au wanamtania Mungu?
   
 2. gillard

  gillard JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 227
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  Duh hii kali aise mwenyewe nimetafakari nimekosea jibu ngoja tusubiri tuone !
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Atapewa Biblia ya Mapepo ya Mama Rwakatare na Msahafu wa Shehe Yahaya na Shehe Sharif
   
Loading...