Mwizi ajifanya mzigo ili akombe hela kwenye duka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwizi ajifanya mzigo ili akombe hela kwenye duka

Discussion in 'Jamii Photos' started by everybody, Jan 3, 2012.

 1. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijui kama hii post ilishapita huku JF ila nimeiona leo nimecheka na kusikitika sana.... Kweli maisha yamekuwa magumu bongo. Watu wanavumbua mbinu bana... See this thread...

  Mwizi ajifanya mzigo ili akombe fedha - YouTube

  Maisha bora kwa kila mtanzania!
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hizo mbinu zipo tena siku nyingi! kuna jamaa waliiba pesa kwa style hiyo hiyo kwa Mukesh Vunja bei Mwanza! jamaa waliingia mida ya lunch wakati mhindi na wafanya kazi wanajiandaa kwenda lunch, mmoja akaingia ndani ya friji! wakamfungia alikomba fedha na kurudi ndani! waliporudi kutoka lunch wenzake wakaja kununua hilo friji na kutoweka nalo. Just imagine!!
   
 3. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nilikuwaga nazisikiaga hizi story tu ila hii picha ndo imenihakikishia. Dah sijui tutatoka vipi ha huu umaskini wetu...
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Njia ni nyingi za kutoka kimaisha
   
Loading...