Mwitikio wa Baraza, wale waliotemwa na Mengineyo

najaribu kujiuliza ni kitu gani kilichokuwa kigumu katika hili baraza jipya hadi likamchukuwa JK pamoja na wasaidizi wake wote zaidi ya wiki mbili kuliunda? Kama imemchukua muda mrefu namna hii kuunda baraza la mawaziri je watendaji wake wakichelewa kutekeleza majukumu yake watalaumiwa?
 
Alikuwa anapima hali ya hewa. Pia, alikuwa akitumia magazeti kuwamaliza asiowataka.
 
Tunashukuru rais wa NEC kamuacha nje Capten. John Chiligati maana wakati wa kampeni alisema ameshindwa kuwaletea maendeleo watu wa Manyoni kutokana na kuwa na Mitara, yaani anatumikia mabwana wengi Chama, Wananchi na Uwaziri kwa pamoja hivyo hakuwa na muda wa kujali wapiga kura wake
 
Nimefurahia jina hilo la RAIS WA NEC. Hongera kwa ubunifu.
 
wana JF mwenye orodho yote ya hizo wizara na mawaziri wake plz tuwekeeni javinii
 
najaribu kujiuliza ni kitu gani kilichokuwa kigumu katika hili baraza jipya hadi likamchukuwa JK pamoja na wasaidizi wake wote zaidi ya wiki mbili kuliunda? Kama imemchukua muda mrefu namna hii kuunda baraza la mawaziri je watendaji wake wakichelewa kutekeleza majukumu yake watalaumiwa?

Yataka muda ili kufanya kazi yenye umakini na kuepuka kukurupuka kama wafanyavyo viongozi wa chama kikuu cha upinzani.
 
njia ya mwongo ni fupi tuu
 
Msola hana ishu SUA palimshinda ataweza wizara.
Kapuya abaki kuendesha bendi yake ya AKUDO tu uongozi wake wa jaziba na amemuingiza JK kwenye matatizo kumbuka ishu ya mgomo wa wafanyakazi.
Meghji ni haki yake yeye ni mama wa mipasho tu bungeni uongozi labda aende bendi ya taarabu awe rais wao.
 
Yataka muda ili kufanya kazi yenye umakini na kuepuka kukurupuka kama wafanyavyo viongozi wa chama kikuu cha upinzani.

kwani kwenye hiyo orodha kuna umakini gani? mbona baraza limekuwa kubwa kuliko la awali? nilidhani walikuwa wanajitahidi kuojipanga kutekeleza kilio cha wananchi wengi kuhusu ukubwa wa baraza la mawaziri na kuchambua hoja mbali mbali. kuchelewa huku watu wengi walitafsiri kwamba wanapunguza baraza na kwamba ilihitaji restructuring ya serikali, amabayo tungeelewa kwamba inahitaji muda.
 
mkwere bana ananipa raha sana....yaani sijaelewa alichokitangaza except wizara ya miundombinu...kwingine hakuna kitu
 
Ndugu wana JF nimelisikiliza baraza la mawaziri kwa umakini mkubwa hivi Nahodha na balozi Swedi kagasheki nani alipaswa kuwa waziri wa mambo yandani?
je,Sitta na mwakyembe ndo wamenyamazishwa??
je vijana walioingia wanatosha???
 
Haya jamani, tufanyeni uchambuzi. Kikiwete aliahidi baraza la wachapa kazi na waadilifu. Je, mnawaona hao kwenye listi hii?
 
Attachments

  • BARAZA LA MAWAZIRI JIPYA NOVEMBA, 2010.doc
    104.5 KB · Views: 323
HILI BARAZA KULINGANA NA HOTUBA YA BUNGENI MBONA KUBWA SANA INA MAANA HALINA TOFAUTI NA LA MWAKA 2005, KAMA MAWAZIRI 29 NAIBU 29 INAMAANA TOTAL 58, Je wale 60 KUNA TOFAUTI KWELI, HII TANZANIA KWELI. HAWA WOTE GARI MPYA, NYUMBA, BUDGET ZAO TU, UJE MAKATIBU WA WIZARA 29 ZINGINE NI MPYA HII YA UJENZI HAIKUWEPO.

KWELIIIIIIIIIIIIIIIIII, TZ TUTAUMIA SANA.
 
Back
Top Bottom