Ukizidiwa uwezo chuki inakutawala.
OTIS.
Jamaa amekula ban nyingine ndani ya wiki moja. Saaaaaafi saaaaaanaaaaaa
Hajamzidi m2 yeyote uwezo hapa. ni huo utumbo wake anaopost huko ndo unakera.
Sasa unafurahia nini?
Alikuwa anakuoutclass sana?
Unajichanganya mwenyewe oooh simpendi ooh sipendi tabia ya baadhi ya member!!!