Mwita Waitara: Wabunge wote wa CHADEMA wanajua kuwa Mbowe ni muhuni ndiyo maana wamegoma kuchanga laki saba kila mmoja

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Akiongea live kupitia Millard Ayo online TV leo jioni, Naibu waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kuwa Mbowe ni muhuni anaendesha chama kihuni sana.

Mwita amesema kuwa tukio la Mbowe kuwaambia wabunge wa CHADEMA wasiingie bungeni alilifanya kihuni bila ya kuitisha kikao chochote na wabunge wake bali alitumia njia ya WhatsApp ambao ni uhuni mkubwa.

Sambamba na hilo,Mwita ameonesha uhuni mwingine wa Mbowe wa kuwachangisha wabunge wa CHADEMA laki Saba Saba kwa manufaa yake binafsi lakini wabunge hao wamegoma kutoa hela hizo.

Pia Mwita amemtaka spika Ndugai kutuma wataalamu wa afya kuchunguza kama kweli wabunge wa CHADEMA wamejikarantini ili sheria ichukuliwe.

Pia amewapa hongera wabunge wote wa CHADEMA waliopinga uhuni wa Mbowe wa kuwazuia wasiingîe Bungeni.

Chanzo: Ayo online TV.
 
Source: Ayo online TV.
Yeye siyo muhuni?
 
wapinzani wakiwa wanachangia, miongozo kutoka kwa wabunge wa ccm ni kama yote vile. Lengo ni kufifisha hoja ya mbunge anaye zungumza, kuupunguza muda wa mbunge na kumtoa kwny mstari wa anacho kichangia.

baya ni, mbunge wa upinzani hasa chadema anapo ihoji serikali, lakn miongozo ya wabunge wa ccm wanakuwa kama wao ndiyo serikali, maana wanajib kwa kejeli na mipasho ambayo inamfanya mpinzani aonekane asiye na akili.

lakn baya zaidi, hoja zote zinazoletwa na serikali zinapita bila kupingwa. Kama lengo ni kutetea hoja za serikali kama zilivyo, bunge lina haja gani kuwepo zaidi ya kupoteza kodi tu?
 
@ njaa ni mbaya sana dadadeki!! Ina uwezo wa kukuondolea utu, heshima, uadilifu wako na kuonekana mtu wa hovyo hovyo katika jamii usiye na dira wala mwelekeo.. (focus & vision)

Upepo unapovumia ndiyo huko huko utakaposhinda na kula...huku ukisubiri kesho yake unavumia wapi uwende ....

Habari mbaya zaidi kwa hii timu njaa kali
ni kwamba timu wafia chama wameapa kwamba kura za maoni ndani ya CCM safari hii ni lazima....hakuna mbeleko aka mama nibebe...kanuni na taratibu za chama lazima zifuatwe!!

Yetu macho na kazi mwenu timu njaa ...hili ni la kwenu si letu.
 
Akiongea live kupitia Millard Ayo online TV leo jioni, Naibu waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kuwa Mbowe ni muhuni anaendesha chama kihuni sana.

Mwita amesema kuwa tukio la Mbowe kuwaambia wabunge wa CHADEMA wasiingie bungeni alilifanya kihuni bila ya kuitisha kikao chochote na wabunge wake bali alitumia njia ya WhatsApp ambao ni uhuni mkubwa.

Sambamba na hilo,Mwita ameonesha uhuni mwingine wa Mbowe wa kuwachangisha wabunge wa CHADEMA laki Saba Saba kwa manufaa yake binafsi lakini wabunge hao wamegoma kutoa hela hizo.

Pia Mwita amemtaka spika Ndugai kutuma wataalamu wa afya kuchunguza kama kweli wabunge wa CHADEMA wamejikarantini ili sheria ichukuliwe.

Pia amewapa hongera wabunge wote wa CHADEMA waliopinga uhuni wa Mbowe wa kuwazuia wasiingîe Bungeni.

Chanzo: Ayo online TV.

Yeye kaondoka Chadema sasa mbona kila siku anaongelea Chadema. Jafo mbona anaongelea hospitali na mafanikio😂
 
Akiongea live kupitia Millard Ayo online TV leo jioni, Naibu waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kuwa Mbowe ni muhuni anaendesha chama kihuni sana.

Mwita amesema kuwa tukio la Mbowe kuwaambia wabunge wa CHADEMA wasiingie bungeni alilifanya kihuni bila ya kuitisha kikao chochote na wabunge wake bali alitumia njia ya WhatsApp ambao ni uhuni mkubwa.

Sambamba na hilo,Mwita ameonesha uhuni mwingine wa Mbowe wa kuwachangisha wabunge wa CHADEMA laki Saba Saba kwa manufaa yake binafsi lakini wabunge hao wamegoma kutoa hela hizo.

Pia Mwita amemtaka spika Ndugai kutuma wataalamu wa afya kuchunguza kama kweli wabunge wa CHADEMA wamejikarantini ili sheria ichukuliwe.

Pia amewapa hongera wabunge wote wa CHADEMA waliopinga uhuni wa Mbowe wa kuwazuia wasiingîe Bungeni.

Chanzo: Ayo online TV.
Hivi Ccm wakikaa bila kuiongelea Chadema huwa wana jisikiaje? Ni aibu chama kizee kama Ccm kukosa muelekeo na kupambana na Chadema kwa vimaneno ka mtu na mke mwenza.. Halafu malumbano yenyewe hayana tija yoyote kwa jamii.. Shame!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwita Waitara.
Ni mbunge wa wapi?

Mkurya huyu hawezi kuwa Mura,ni mrisya huyu.

Hakutahiriwa kwa kisu,alikwenda hospitali.

Kwa hiyo hatumuhesabu kama katahiriwa ,ni mwoga kwelikweli wa kisu.

Hawezi na hana ruhusa ya kuongea mbele ya wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom