Mwita Waitara: Kumekuwa na mzaha mzaha, hata Rais ametoa maagizo watu wanaibuka wanazungumza mambo yao

Wananchi Wana hoja ya msingi, nadhani wajibiwe kwa hoja wasibezwe. Waelezwe suala la Chanjo ulikuwa msimamo wa Serikali au mtu?
Then sasa hvi bado Ni msimamo wa mtu au Serikali?. Then waambiwe kwanini waamini msimamo wa sahvi na siyo ule wa awali. Waelezwe wasifokewe na kubezwa.

Membe on twitter
Hilo ndilo jambo litakalofanya wananchi waelewe, viongozi wajibu hoja za msingi na sio kubakia kusema tu kua ni upotoshaji
 
Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara: Kumekuwa na mzaha mzaha, unatoa maelekezo hata mheshimiwa Rais juzi ametoa maagizo watu wanaibuka wanazungumza mambo yao ambayo kwakweli ni makosa makubwa sana.

Sisi tunatakiwa kupata muongozo kwa kiongozi mkuu wa Nchi, Rais ni Taasisi, sasa kama amejiridhisha kwenye vyombo kwa jambo hili la chanjo ni jambo salama tena amesema itakuwa chanjo ya hiari.

Sasa kama hutaki, usitoe kupotosha watu wengine, tunaanza kudeal na contradictions, mwingine akisikia kutokana na nafasi yako ataamini wewe ndio uko sawa, sasa sisi kama serikali na sisi watanzania nchi hii inaongozwa na sheria, msemaji mkuu wa nchi ni Rais.
wewe ni waziri wa ujenzi mambo ya chanjo unayaelewa vizuri? Kuwa kiongozi sio garantii ya kwamba basi kila jambo unalijua.
 
Back
Top Bottom