Ha ha ha ha hujui kuwa Mtulia ndiye mbunge Kindondoni kwa tiketi ya CCM?kwani Mtulia alishinda ?
Swali ni je huko Ukonga kwa Waitara ni mjini kuliko Kinondoni?
Ha ha ha ha hujui kuwa Mtulia ndiye mbunge Kindondoni kwa tiketi ya CCM?kwani Mtulia alishinda ?
wasaliti walishakufa jana kimebaki kivuli chao ambacho hakitishiMbinu sawa, lakini ni za kupigiwa kura, sio kutangazwa umeshinda, wakati kura zako ni chache.
Na wale elfu 16 wa buyunguUmebaki peke yako cdm
Ulibhine fyofiki gwandike lelo aseee. Ulijhanga ugweee.Aliko ng'inagho.
Mungu ibariki UkongaNANI KAKUAMBIA MAJAMAA YANATEGEMEA KURA TENA? BUYUNGU YALIGARAGAZWA YAKAIBA KWA NGUVU,YAKIJIFUNGIA NDANI HAYAAMINI REACTION YA RAIA,WATU WAMECHEFUKWA SANA
Moto utawakaHAPO WATATUMIA HATA NUCLEAR ILI WASHINDE.
Wewe tulishakuzoea huna la maana! Hata wakati Sugu anapigwa mvua ilikuwa unatuaminisha Mbeya itazizima lakini ikawa kinyume chake!! Tarehe 16/9/2018 usije na ngonjera nyingine!Bila polisi wenye silaha za kivita ccm ni wepesi kuliko pamba , Chiza kaangushwa kwenye kata 12 kati ya 13 lakini ffu 400 wenye makombora wakahakikisha anatangazwa , hata aibu huna mjomba ?
Leo tumezindua kampeni zetu pale Mombasa mzambalauniKwa kadri ya imani ya Wakurya , NI AIBU KUBWA SANA KWA MWANAUME WA KIKURYA KUSHINDWA NA MWANAMKE KATIKA JAMBO LOLOTE , Tangu Mzee Wassira ashindwe kwenye kinyang'anyiro cha ubunge na Dada Easter Bulaya amejificha chini ya uvungu wa kitanda , taarifa zinadokeza kwamba sehemu pekee anayojitahidi kwenda ni kwenye clinic yake ya kisukari kilichompata baada ya kushindwa ubunge , hii ni kwa vile madaktari walimuonya kwamba asipohudhuria hiyo clinic atakufa .
Jimbo la Ukonga ambalo ni kama Tarime ya DSM kutokana na kukaliwa na Wakurya wengi , wakazi wake ambao wengi ni wakulima , wafugaji wa kuku na askari wastaafu wamejiapiza hasa baada ya Chadema kumteua mgombea Mwanamke , wamejiapiza kumtosa Msaliti Waitara ( ALIYEKIMBIA CCM NA KUPOKELEWA CHADEMA BAADA YA KUKATAA KUMPIKIA CHAI EMMANUEL NCHIMBI ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM , kumbuka kwamba waitara aliajiriwa kuwa katibu Mhutasi wa Nchimbi ) na kuhakikisha kwamba Mgombea wa chadema ambaye ni mwanamke anashinda kwa kishindo .
Njia pekee ya waitara kuwa kiongozi ni kuteuliwa kama ChalamilaView attachment 846806
Mi nawaomba CHADEMA watuorganise tu. Watu wa kawaida tupo wengi tu tuliochoka na udhalimu unaofanyika nchini. Tupo tayari waache kulalamika tufanye kwa vitendo tukomboe nchi yetu.Hakuna sehemu CCM inaweza shinda kwa uhalali, yani hata uchukue mchanga vs mbunge yoyote wa CCM katika jimbo lolote lile, kura zikihesabiwa kwa haki mchanga unashinda.
CCM wameishiwa mbinu wapo mwishoni kabisa, mda si mrefu tunaingia msituni tunairudisha nchi katika utawala wa sheria.
Ukonga inaenda kuwa ubao ....mark my words!Mara ya mwanzo nilikuwa nasikitika sana chadema kushiriki hizi chaguzi, lakini ule wa buyungu umenipa picha umuhimu wa chadema kushiriki hizi chaguzi fake, inasidia kuwaambiaa ukweli wananchi juu ya serikali yao na kuonyesha kuwa chadema bado baadhi ya watanzania wana imani nayo. Hawa mabalozi watusaidie tu kuwasema hawa wezi ccm mwisho wa siku wataona aibu kwa kuanikwa mabaya yao.
Amekiri kuwa ni baadhi ya wananchi na siyo ile kitu waliyokuwa wakisema, “nyomi”Umebaki peke yako cdm
Sijakuelewa
ni ubao wa kufundishia .Sijakuelewa
bila shaka majibu unayo mkuuMkuu ni mwanamke gani alieteuliwa na chadema kugombea hilo jimbo?