Mwita Waitara kukumbwa na yaliyomkuta Wassira

Na wayapige chini tu hayo yanayosaliti ahadi zao kwa wananchi,tena nawapa pongezi chadema kwa kusimamisha wanawake ukonga na korogwe vijijini kama siyo monduli.
 
Bila polisi wenye silaha za kivita ccm ni wepesi kuliko pamba , Chiza kaangushwa kwenye kata 12 kati ya 13 lakini ffu 400 wenye makombora wakahakikisha anatangazwa , hata aibu huna mjomba ?
Wewe tulishakuzoea huna la maana! Hata wakati Sugu anapigwa mvua ilikuwa unatuaminisha Mbeya itazizima lakini ikawa kinyume chake!! Tarehe 16/9/2018 usije na ngonjera nyingine!
 
Kwa kadri ya imani ya Wakurya , NI AIBU KUBWA SANA KWA MWANAUME WA KIKURYA KUSHINDWA NA MWANAMKE KATIKA JAMBO LOLOTE , Tangu Mzee Wassira ashindwe kwenye kinyang'anyiro cha ubunge na Dada Easter Bulaya amejificha chini ya uvungu wa kitanda , taarifa zinadokeza kwamba sehemu pekee anayojitahidi kwenda ni kwenye clinic yake ya kisukari kilichompata baada ya kushindwa ubunge , hii ni kwa vile madaktari walimuonya kwamba asipohudhuria hiyo clinic atakufa .

Jimbo la Ukonga ambalo ni kama Tarime ya DSM kutokana na kukaliwa na Wakurya wengi , wakazi wake ambao wengi ni wakulima , wafugaji wa kuku na askari wastaafu wamejiapiza hasa baada ya Chadema kumteua mgombea Mwanamke , wamejiapiza kumtosa Msaliti Waitara ( ALIYEKIMBIA CCM NA KUPOKELEWA CHADEMA BAADA YA KUKATAA KUMPIKIA CHAI EMMANUEL NCHIMBI ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM , kumbuka kwamba waitara aliajiriwa kuwa katibu Mhutasi wa Nchimbi ) na kuhakikisha kwamba Mgombea wa chadema ambaye ni mwanamke anashinda kwa kishindo .

Njia pekee ya waitara kuwa kiongozi ni kuteuliwa kama ChalamilaView attachment 846806
Leo tumezindua kampeni zetu pale Mombasa mzambalauni
 
Hakuna sehemu CCM inaweza shinda kwa uhalali, yani hata uchukue mchanga vs mbunge yoyote wa CCM katika jimbo lolote lile, kura zikihesabiwa kwa haki mchanga unashinda.

CCM wameishiwa mbinu wapo mwishoni kabisa, mda si mrefu tunaingia msituni tunairudisha nchi katika utawala wa sheria.
Mi nawaomba CHADEMA watuorganise tu. Watu wa kawaida tupo wengi tu tuliochoka na udhalimu unaofanyika nchini. Tupo tayari waache kulalamika tufanye kwa vitendo tukomboe nchi yetu.
 
Mara ya mwanzo nilikuwa nasikitika sana chadema kushiriki hizi chaguzi, lakini ule wa buyungu umenipa picha umuhimu wa chadema kushiriki hizi chaguzi fake, inasidia kuwaambiaa ukweli wananchi juu ya serikali yao na kuonyesha kuwa chadema bado baadhi ya watanzania wana imani nayo. Hawa mabalozi watusaidie tu kuwasema hawa wezi ccm mwisho wa siku wataona aibu kwa kuanikwa mabaya yao.
Ukonga inaenda kuwa ubao ....mark my words!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom