Mwita Waitara kukumbwa na yaliyomkuta Wassira

Fala wewe huna adabu.chama chote cha ccm hawana adabu.wanatukana watanzania.Mkapa alituita watanzania malofa.mwinyi alituita kichwa cha mwenda wazimu.sasa wewe nawe ukitukana tukana tu maana ni kawaida yenu. Ila sikunitafika
Nafikiri fala utakuwa wewe na mbowe na mama yako mzazi, shida ya nyinyi vijana wa kutoka baraza la vichaa la chadema huwa mnajiona ni mabingwa wa matusi..... Mnafikiri wengine hawajui kutukana et enheer?? Haya twende jamaa alikuwa anakulea binafisi siogopi bani.
 
Sina muda na malofa dizaini yako.
Ccm hamna hoja saizi unakimbia hojausitafute bunduki sasa na risasi.Mimi nategemewa na taifa na pia na familia yangu kama wewe.mafisiem ninyi ni wepesi kama pamba na wewe ni mwepesi kama karatasi.Umekimbia hoja mzee mmama.
 
Hivi wewe unawashwa?
 
Nafikiri fala utakuwa wewe na mbowe na mama yako mzazi, shida ya nyinyi vijana wa kutoka baraza la vichaa la chadema huwa mnajiona ni mabingwa wa matusi..... Mnafikiri wengine hawajui kutukana et enheer?? Haya twende jamaa alikuwa anakulea binafisi siogopi bani.
Powa hakikisha bunduki unaweka chini sawa hapa ni mwendo wa hoja tu
 
Ukileta hoja nitajibu hoja, ukileta lugha ya kuudhi vivyo hivyo nitatumia lugha ya kuudhi zaidi,.
Fresh mimi nasema ninyi ccm mnatumia dola vibaya.bila ya hapo ni wepesi kama pamba.na mnatumia nguvu kuonesha mnapendwa kumbe mnachukiwa kama ukoma
 
Fresh mimi nasema ninyi ccm mnatumia dola vibaya.bila ya hapo ni wepesi kama pamba.na mnatumia nguvu kuonesha mnapendwa kumbe mnachukiwa kama ukoma
Mbaazi ikinyauka husingizia jua, hivi Kuna uchaguzi umewahi kupita bila nyinyi kulalamika?jibu ni kwamba haupo na hautakuwepo.
 
Kwa kadri ya imani ya Wakurya , NI AIBU KUBWA SANA KWA MWANAUME WA KIKURYA KUSHINDWA NA MWANAMKE KATIKA JAMBO LOLOTE , Tangu Mzee Wassira ashindwe kwenye kinyang'anyiro cha ubunge na Dada Easter Bulaya amejificha chini ya uvungu wa kitanda , taarifa zinadokeza kwamba sehemu pekee anayojitahidi kwenda ni kwenye clinic yake ya kisukari kilichompata baada ya kushindwa ubunge , hii ni kwa vile madaktari walimuonya kwamba asipohudhuria hiyo clinic atakufa .

Jimbo la Ukonga ambalo ni kama Tarime ya DSM kutokana na kukaliwa na Wakurya wengi , wakazi wake ambao wengi ni wakulima , wafugaji wa kuku na askari wastaafu wamejiapiza hasa baada ya Chadema kumteua mgombea Mwanamke , wamejiapiza kumtosa Msaliti Waitara ( ALIYEKIMBIA CCM NA KUPOKELEWA CHADEMA BAADA YA KUKATAA KUMPIKIA CHAI EMMANUEL NCHIMBI ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM , kumbuka kwamba waitara aliajiriwa kuwa katibu Mhutasi wa Nchimbi ) na kuhakikisha kwamba Mgombea wa chadema ambaye ni mwanamke anashinda kwa kishindo .

Njia pekee ya waitara kuwa kiongozi ni kuteuliwa kama Chalamila
Kwa taarifa yako Wassira si Mkurya.
 
Mbaazi ikinyauka husingizia jua, hivi Kuna uchaguzi umewahi kupita bila nyinyi kulalamika?jibu ni kwamba haupo na hautakuwepo.
Kwa hiyo ubakaji wa kura kama kule Tarime ulivyofanyika ndo tusilalamike.Tena bora mtu anaeongea sana kuliko mtu kukaa kimya.wanatoa machungu yao.Bahati mbaya zaidi ccm nao wanajibu kwa kejeli zaidi.kumbuka inshu ya kheri wa uvccm na chalamila kuhusu wapinzani
 
Kwa hiyo UKONGA ni mjini kuliko KINONDONI kwa MTULIA??????
Kajipange upya na hii hoja yako
Kumbuka kwa mtulia raia hawakupiga kura.Jimbo walijiandikisha watu zaidi ya laki 2 lakin waliopiga kura 45000. Watu zaidi ya laki na nusu hawakwenda kupiga kura
 
Bila polisi wenye silaha za kivita ccm ni wepesi kuliko pamba , Chiza kaangushwa kwenye kata 12 kati ya 13 lakini ffu 400 wenye makombora wakahakikisha anatangazwa , hata aibu huna mjomba ?
kata 12 kati ya 13 ambazo Zitto aliwadanganya na wote mlivo manyumbu mkafuata halafu baadae yeye mwenyewe anawaambia eti wake up CHADEMA,toeni matokeo Public wakati yeye ndo alikua mtoaji matokeo wa awali....
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom