johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,666
- 141,490
Mbunge wa ukonga mh Mwita Waitara amepokea wanachama wapya zaidi ya 1400 waliojiunga na CCM wakitokea Chadema na vyama vingine vya upinzani.
Waitara ameweka historia ya kuwa kiongozi wa kwanza mkoani Mara na pengine Tanzania nzima kwa kuweza kupokea " Lundo" la wapinzani wanaojiunga CCM kwa wakati mmoja.
Kadhalika Waitara ambaye pia ni naibu waziri wa Tamisemi ametoa onyo kwa wanasiasa wote wanaotoa taarifa za ugonjwa wa Corona kinyume cha utaratibu waache mara moja vinginevyi watachukuliwa hatua.
Source Channel ten habari.
Maendeleo hayana vyama!