Mwita Waitara: Apigilia msumari umeya Ubungo, asema Boniface Jacob siyo Meya tena

Meya wa ubungo alikuwa anaamimi kujifanya baunsa kwenye vikao Ndio kutwmfanya awe mwanasiasa bora

Ajue hatapata ubunge wala udiwani

Mbowe ampe kazi ya kumlinda
 


Sent using Jamii Forums mobile app

Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kwa mujibu wa Barua iliyodaiwa kuwa ni ya Chadema iliyoandikwa kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa chama hicho kimemfuta uanachama Boniface Jacob, tayari amepoteza sifa za kuwa Diwani na Meya.

"Nimeiona barua ya Chadema, nimeona barua aliyowajibu Mkurugenzi wa Manispaa, nimesikia saiti ya Mnyika akizungumzia suala hilo, niseme tu kwamba si kazi ya Mkurugenzi kusoma na kuelewa katiba ya Chadema inasemaje, ameshapokea barua ya Chadema na akawajibu kwa maandishi kuridhia maamuzi yao, ameshamaliza kazi yake, wala wasitegemee ataandika batua ya kukanusha, hivyo Jacob si meya tena wa Ubungo.

Kama anaona haikuwa halali aandike barua kwa waziri mwenye dhamana kuomba marejeo, waziri atapitia na kutoa majibu au aende mahakamani," amesema Waitara.

---

"Nimeona Chadema ikikanusha barua aliyoandikiwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwamba kwa mujibu wa Katiba yao Meya hawezi kuvuliwa uanachama na ngazi ya Kata.

Nimesoma mitandaoni kwamba Mkurugenzi amekiri kupokea barua hiyo kimakosa na ataandika kutengua barua yake. Mimi kama Naibu Waziri TAMISEMI natoa maelekezo kwamba si kazi ya Mkurugenzi kutafsiri Katiba ya Chadema inasemaje.

Kama alipokea barua kutoka ofisi ya kata, haikua kazi yake kuchunguza kama Jacob anaweza kuvuliwa uwanachama na ngazi ya kata ama lah. Kwahiyo Mkurugenzi hana sababu ya kuifuta barua yake. Yeye ameshafanya kazi yake imetosha, hivyo Jacob sio Meya tena wa Ubungo"

Mwita Waitara, Naibu Waziri TAMISEMI
05/05/2020,

Kulisikiliza jamaa lilevi sura utafikiri limeumwa na nyuki ni kupoteza muda
 
Yaani kuna watu walizaliwa kabisa ili kulitumbukiza Taifa kwenye visasi na chuki. Hawakuletwa kwa jambo lolote lingine. Sijui ndani ya mioyo yao wanawaza nini sijui...
Nikimkumbuka Steve wa hasira namuonea huruma, haamini Leo na yeye haitwi ikulu kunywa juice
 
Back
Top Bottom