wengi wetu tunacheka na tunapenda kusema lakini wangapi humu wanaeza kuandika kama hivi?
sisi tuliopitia elimu ya watu wazima tunaona imetulia makosa madogo yapo lakini akiipeleka kwenye meza yangu lazima nimuite kwa mahojiano
Kuna watu wanajua kuzungumza kiinglishi lakini kuandika ndio kazi ndio maana kuna wasawazishaji wa lugha kwenye kuandika kitabu hata huko maulaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.