Mwita 25 BANNED-alistahili kwakweli

Status
Not open for further replies.

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,772
4,641
ni msiba kwa wana SISIEM kuona kwamba waliomtuma kujibu hoja zao mitandaoni kula ban..................nadhani ataenda kwenye blog ya MS wakabadilishane upuuzi wao wenyewe.
pumzika kwa amani.
jana usiku katukanana sana na jamaa mmoja hvi anaitwa Arafat tena yakuhusu mama,jamani mbona kijana hana adabu hvi?

hoja zipi zile za kutaka kujua maendeleo ya mimba ya Thedy Kalonga na tetesi za AY kushtakiwa na Rihanna???

sijui huwa anawaza nni,najua atakuja na ID mpya tunampumzisha tena

Lakini mbona aki-pm mtu huwa anaandika pointi sana. Labda wamemfungia kwasababu ni anti-chadema lakini mimi sioni tatizo lake

Naona magwanda watapumua sasa. Jamaa alikuwa anawakaba sana, inaelekea wameenda kumshtaki kwa Invisible

Ok ni sawa kuwa pro CCM na pro CDM , walakini ya Mwita25 ni kuattack personalities, kuna picha moja alicomment vibaya sana about general physique of that person, kwa mwanaume rijali...I think tht was too low!

Lakini mbona aki-pm mtu huwa anaandika pointi sana. Labda wamemfungia kwasababu ni anti-chadema lakini mimi sioni tatizo lake

Pm's are not public content and judging from your defence on his points .....points on Teddy Kalonga?,kilewo and Joyce wedding ? Infact he never dissects topics which are discussed here, only uses 2 3 words in his shakesperean(sp) english to belittle whatever is being discussed

^ Arghhhh! :( Yaana humu ndani mtu akila ban tu, basi mijitu mingine inajidai inamjua na ilikuwa haipendi posts zake, sasa kwanini hamkumwambia kabla hajapigwa ban? Mnashangilia mtu akipigwa ban ehh? Hii JF ni kwa watu wa aina zote wenye mawazo ya aina zote. Sio kila mchangiaji lazima aunge mkono hoja za wana JF wengine. Ni mtazamo tu.

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom