Mwisho watapandisha mashetani ujue..

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,782
Mafuta yatapanda tena bei.. Hiyo ndio habari mpya mjini...!

Wale wanaopandisha mashetani huwa ile ni hatua ya mwisho kabisa baada ya mengine yote kufanyika ama kushindikana kufanyika..!

Waulize waliowahi kuishi na wapandisha mashetani watakwambia visa vyao.. Ama wale wanaenda kwa masangoma wapandisha mashetani vile wanavyohangaika kutafuta vibe la kupandisha mashetani

Mafuta juu.. Imesingiziwa korona na sasa vita vya huko kwa putini vimejumuishwa huko.. Hakuna rivasi kama kipikipi....ama kama joka la eden.. Vitu vinashindana kupandisha bei

Nimeambiwa hata ile starehe pendwa wametoa bei elekezi..nazo juu..na zitapaa juu zaidi kimini cha kuazima..

Kama huamini wanakaribia kupandisha mashetani waulize boda na bajaji watakwambia ama mkubwa wao uber..!

Je tuna mbadala wa kufanya wasije wakapandisha mashetani hawa watu? Maana huko tuendako sijui!?
 
Shetani hawezi pandisha shetani.
giphy.gif
giphy.gif
 
Pandisha vyote aisee sio mafuta!
Naamini tungekuwa na serikali ambayo inajali wananchi wake pasina kuangalia wenye nacho na wasio nacho tayari ingekua imeshafanya kitu!
 
Mafuta yatapanda tena bei.. Hiyo ndio habari mpya mjini...!

Wale wanaopandisha mashetani huwa ile ni hatua ya mwisho kabisa baada ya mengine yote kufanyika ama kushindikana kufanyika..!

Waulize waliowahi kuishi na wapandisha mashetani watakwambia visa vyao.. Ama wale wanaenda kwa masangoma wapandisha mashetani vile wanavyohangaika kutafuta vibe la kupandisha mashetani

Mafuta juu.. Imesingiziwa korona na sasa vita vya huko kwa putini vimejumuishwa huko.. Hakuna rivasi kama kipikipi....ama kama joka la eden.. Vitu vinashindana kupandisha bei

Nimeambiwa hata ile starehe pendwa wametoa bei elekezi..nazo juu..na zitapaa juu zaidi kimini cha kuazima..

Kama huamini wanakaribia kupandisha mashetani waulize boda na bajaji watakwambia ama mkubwa wao uber..!

Je tuna mbadala wa kufanya wasije wakapandisha mashetani hawa watu? Maana huko tuendako sijui!?
Ukiona vitu vinapanda bei na watu wananunua basi ujue pesa ipo..

Soko ndio linapanga bei
 
Haya Yote Ndugu ni Kwa Sababu Hatuna Vya Kwetu. Tunaangaika Kuwatangaza Swala..Nyumbu...Twiga

Tunasahau Kuweka Reserve ya Mafuta Wala Vyakula
 
Lile jiwe litakalouzwa wiki hii Dubai kwa BILLION 200 NA USHEE linanipa shinikizo la moyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom