Mwisho wa siku police watashindwa kujitetea na kusema hivi........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwisho wa siku police watashindwa kujitetea na kusema hivi...........

Discussion in 'Jamii Photos' started by Shine, Sep 11, 2012.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  581401_3869313134788_716829542_n.jpg


  Police nao watakuwa wakijitetea kama hivyoo
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Ahahahahah kabisa aise. Maana watasema alikula wali na ugali na ndizi na kisamvu na maharage na nyama na mchicha na matembele akatengeneza bomu lililomlipua mwenyewe.
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Wala sitashangaa
   
 4. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,698
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha ha ha!!tutakuwa tumefika mbali sana!
   
 5. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Ila yote haya yanasa7bshwa na sisi wenyewe. Nidham ya uoga ndio inatpeleka pabaya. Tuamke sasa tusje tkaja tazskia hizo KAULI. Thanx kwa JOURNALISTS kwa maandamano
   
 6. PJ

  PJ JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Watasema kutokana na uchunguzi tuliofanya marehemu Mwanosi alijitoa mhanga.
   
 7. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  shame on them,lakini nimefurahishwa na jazba ya anayetazama television hata katuni haziwapendi polisi.
   
 8. Hayajamani

  Hayajamani JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 883
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Pia camera na vile vyombo vya kunasia sauti vya kwake vilipata shoti baada ya kusogelewa na binduki na vikamlipua ghafla
   
 9. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  ondoa hii weka zekomedi
   
 10. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu hii itakuwa TBC
   
 11. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Tehe tehe tehe!! EMBU ONDOA HII WEKA ZE KOMEDI EBOOO!!!!!!!!!!!!
   
 12. hetu

  hetu Senior Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wala si ajabu kusikia hayo. wanatafuta njia ya kutokea lakini wanakosa.
   
 13. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #13
  Dec 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Hahahaha....
   
 14. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #14
  Dec 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,118
  Likes Received: 1,745
  Trophy Points: 280
  Nimechekajeee!
   
 15. Bamukunda

  Bamukunda JF-Expert Member

  #15
  Dec 9, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Pamoja na hayo mabaya ya Polisi, ukweli kwa kiasi fulani wanasaidia. Mfano hapa Dar na huko Unguja kulikuwa hakukaliki kilasiku ilikuwa ni vurugu tupu. Maandamano kila kukicha na makanisa kuchomwa moto. Lakini angalia baada ya Madevu na Ponda kuwa ndani, kipindi hiki tumeona utulivu. Inaonyesha kuwekwa ndani ndugu hao kumeleta utulivu.
   
Loading...