Mwisho wa siku 7 za Ridhiwan ni leo 9/5/11! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwisho wa siku 7 za Ridhiwan ni leo 9/5/11!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PakaJimmy, May 9, 2011.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
 2. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 3. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  du!, WATU MPO MAKIN KUFUATILIA UTEKELEZAJI WA KAULI ZA WATU?!!!.
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,084
  Trophy Points: 280
  Ngoja tusubiri his next move baada ya kutoa tishio.
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hana lolote huyo! Hawezi kufanya chochote. Walishindwa akina Mkono walipotajwa kwenye JK eleven sembuse yeye! Wanahofia kujikana mahakamani.
   
 6. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Time is rushing, si muda mrefu kutakuwa na uchaguzi mkuu tena
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kamanda

  Hivi na wewe uliingia mkumbo kuwa Mwana wa Mfalme alikuwa serious? Hana cha kupeleka mtu mahakamani huyo Ridhiwan Kikwete
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Tusubiri labda anawasiliana na wanasheria wake!
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,118
  Trophy Points: 280
  Yale yalikuwa maigizo tu, hamna lolote pale, wee unaongea na vyombo vya habari haijulikani unakoelekea?? Mara maisha ya mijini...hahaaa kwa hio hastahili kuiendesha UVCCM kimjini huyu ni mhuni sawasawa na Cisco
   
 10. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Am just speechless!

  Ila kwa ufupi ni kwamba, Kuna issues zina tuadhiri kama watanzania kwa ujumla, Tunataka tuujue huu utajiri wa R1 umetokana na nini, Isije ikiwa ni kodi zetu walalahoi.

  Ndio maana Hutonikuta nafuatilia hata siku moja utekelezaji wa Kauli yako wewe! Ila nitakua bize sana kufuatilia Lolote linalohusu mali za Riz1, Lowasa, Chenge, Mramba, Karamagi, Rostam, .......

  Nadhani umenielewa Mkuu.
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Hili jina ni mpya!...Kabatizwa lini huyu?
  Kwa maana hiyo asubirie kupigwa Tanganyika jeki na Mtikila kwenda Mahakamani!
  Mimi naombea babaye amtume hata huko Pakistan, japo kwa miezi 2 kuuliziaulizia afya ya jamaa za Osama, ili akirudi akute mambo yamepoa..!
  Vinginevyo anadhalilika dakika yoyote kuanzia leo!
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ahadi ni deni bana!
  Huyu mtoto aliongea kwa kuita waandishi wa habari, akiwa na maana UMMA wa Watanzania wote unatakiwa ufahamishwe jambo alilotaka kusema!
  Sasa anawajibika kabisa kumalizia homework yake kwa kuchukua hatua aliyoahidi, vinginevyo atumie vyombo hivyohivyo vya habari kukanusha kuwa hakuwa makini wakati akitamka maneno hayo!
  Media nazo zina wajibu mkubwa sana kumfuatilia huyu kijana wa kimjinimjini, ili kupata kinachoendelea na hatimaye kuwamalizia sakata hili wananchi!
   
 13. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Halafu hatutaki mtoto wa rais muwongo kwa hiyo ni lazima atimize ahadi yake
   
 14. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Haaaaaaaah aaaaaaahhh duh Ridhiwan Uday Saddam Hussein al-Tikriti al KikweteRidhiwan dogo lile time bomb lako sasa ndiyo hiloooooooo.... tupe raha :evil:
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kama baba yake muongo utashangaa mtoto akiwa muongo pia....
   
 16. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Yalikuwa maneno ya kimjini mjini, hakumbuki kama aliahidi
   
 17. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tunasubiri tu.... siye yetu macho.
   
 18. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Duh mkuu umekamaa nae utadhani umetumwa na kijiji,mwanzako alikuwa akisema kimjini mjini hakuwa serious kihivyo.
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Labda watatumia nguvu ya pesa Kumnyamazisha Rev Mtikila...!
   
 20. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,427
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Yetu masikio,tunasubiri kusikia kinachoendelea mkuu!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...