Mwisho wa mwezi: Hotuba za Raisi ziko wapi?

SIMBA mtoto

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
204
100
Zamani ilikuwa ni kawaida ya Raisi kila mwisho wa mwezi, kuzungumza na Watanzania kwa njia ya TV na radio, sasa ni miezi kadhaa imepita bila hotuba, je amekosa au hana tena hadithi za kuwasimulia wananchi wa Tanzania?
 
Mpaka litokee tukio kubwa sana, nadhani hili la Obama litafanya tuipate hutuba ya mwezi wa saba maana lazima tuambiwe tumesaini mikataba mingapi na pia jinsi marekani ilivo rafiki kwa Tanzania
 
Acha tucheze ngoma kwanza, kazi baadaye si unajua tulivyo, ni ngoma kwa kwenda mbele. Wageni wakiondoka watoto hawana ada, hela ya hospitali Hakuna etc
 
Zamani ilikuwa ni kawaida ya Raisi kila mwisho wa mwezi, kuzungumza na Watanzania kwa njia ya TV na radio, sasa ni miezi kadhaa imepita bila hotuba, je amekosa au hana tena hadithi za kuwasimulia wananchi wa Tanzania?
SIMBA mtoto subiri ataleta ya kuwashukuru kwa kuwa raisi wa kupokea wageni wengi akiwemo baraka obama
 
Last edited by a moderator:
Zamani ilikuwa ni kawaida ya Raisi kila mwisho wa mwezi, kuzungumza na Watanzania kwa njia ya TV na radio, sasa ni miezi kadhaa imepita bila hotuba, je amekosa au hana tena hadithi za kuwasimulia wananchi wa Tanzania?

Alikuwa bize kusimamia usafi hapa Dar. Si unajuwa tena mambo ya uwajibikaji ili upate kusifiwa na kufuta maovu?
 
yuko bize anaandaa suti za kuvaa Obama akija.....
1477_10151768048514789_88019499_n.jpg

Na lazima mpaka tai zitafananana chezea Kikwete nyie
Hizo Hotuba kwa sasa Pinda zinawafaeni kwani Mabomu ya arusha ndio yanawasumbua watu wanataka wahadithiwe basi!
 
Back
Top Bottom