Mwisho wa Lowassa na Chenge NEC ijayo - Ole Sendeka

iron finger

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
358
220
Baada ya kumalizika mdahalo wa uloandaliwa na Kigoda cha mwalimu Nyerere kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Nyerere mh sendeka alipata nafasi ya kuongea na wanafunzi na wananchi mbalimbal, ambapo alibanwa na maswali kadha wa kadha na wananchi hao ajitahidi kuyajibu kwa ufasaha lakini kubwa nililopenda ni lile la kuhusu mapacha wawili walobakia.

Mh Sendeka alijibu kwa kujiamini kwamba kikao kijacho cha NEC ndiyo mwisho wao hivyo wananchi wasiwe na mashaka:
 
Walisema siku 90 zikaisha, NEC ilipokaribia wakaahirisha kusingizia Igunga, sasa wanakuja na habari ya NEC ijayo... Hao ni waoga wa kufanya maamuzi chini ya mwenyekiti goigoi na legelege. Mi nahisi wanatumia hizi sarakasi kutusahaulisha ugumu wa maisha tulionao tujikite katika sarakasi za kuvuana gamba. Tunataka maisha bora JK aliyotuahidi huku mnavuana magamba yenu
 
Mimi binafsi ole Sendeka namkubali lakini kwa hili aache uongo kama amesema hayo.
 
hizi tunazosoma sana humu JF mara mapacha, mara membe be careful. mara sitta ansema atahama sijui wananchi wakimwambi bla bla bla ni promo tu ya ccm kuongeza media hype kwani wameishiwa sera
 
whats is wrong with mapacha watatu in ccm perspective?
RA hajaondoka kwa sababu ni gamba bali siasa uchwara ndani ya ccm ndo maana kwenye kampeni za igunga aliitwa kusaidia siasa hizohzo uchwara ndani ya magamba.Magamba wameponea chupuchupu huko igunga wakinunua kila kura kwa takriban sh 115000/=.Sa HV WANAOMBEA AC,EL AU MBUNGE YEYOTE ASIFARIKI kwa sababu kushndwa kunawaogopesha
 
baada ya kumalizika mdahalo wa uloandaliwa na kigoda cha mwalimu nyerere kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Nyerere mh sendeka alipata nafasi ya kuongea na wanafunzi na wananchi mbalimbali ambapo alibanwa na maswali kadha wa kadha na wananchi hao ajitahidi kuyajibu kwa ufasaha lakini kubwa nililopenda ni lile la kuhusu mapacha wawili walobakia mh sendeka alijibu kwa kujiamini kwamba kikao kijacho cha NEC ndiyo mwisho wao hivyo wananchi wasiwe na mashaka:

View attachment 39128
Wewe thubutu usichezee hapa manake nipatamu sana sana ndio maan kwa gharam kubwa watu wanapata tena waludi.

Moja ya kazi kubwa walio nayo CCM ya kumtoa itagharimu wahusika kazi kubwa na ikiwezekana yakaibuka yale ya kinamwakyembe ,Manake nguvu yake walimjenga wao nae akawajenga watu wake ambao wengine ni watendaji vitengo nyeti kulikoni labda yajiludie yale yale ya punguza punguza kama yaliopita enzi hizo.
 
baada ya kumalizika mdahalo wa uloandaliwa na kigoda cha mwalimu nyerere kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Nyerere mh sendeka alipata nafasi ya kuongea na wanafunzi na wananchi mbalimbali ambapo alibanwa na maswali kadha wa kadha na wananchi hao ajitahidi kuyajibu kwa ufasaha lakini kubwa nililopenda ni lile la kuhusu mapacha wawili walobakia mh sendeka alijibu kwa kujiamini kwamba kikao kijacho cha NEC ndiyo mwisho wao hivyo wananchi wasiwe na mashaka:
Hivi hawa CCM wana matatizo gani jamani. wananchi wamekichoka chama chao na si Lowassa peke yake.

Meremeta, Tangold.EPA,IPTL,Richmond,Radar na kashifa nyingine nyiiingi zimekifaidisha chama chao kwa ujumla wake moja kwa moja (Direct) au kupitia wagombea na viongozi wa chama chao. Ufisadi wa Lowassa ni wa kimfumo si wa mtu binafsi na ndiyo maana alisema "tatizo ni huu uwaziri mkuu" lakini Lowassa aliposema hivyo hakumaanisha kwamba wenye kuutaka uwaziri mkuu ni wa kutoka CHADEMA bali ni wa chama chake.

Tatizo halikuwa ni pesa zilizopotea kwani wote walijua ni dili la nani, bali tatizo lilikuwa ni cheo cha uwaziri mkuu kipo kwa asiyestahili. Kina Salum Maranda wao waliipitishiwa hela lakini hawakuambulia kitu maana hata siku ya mwisho ukimwangalia Maranda hadi unajiuliza kweli huyu bwana alikuwa na hela zote hizo anazoambiwa kaiba? Lakini Maranda alikuwa ni Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Kigoma.

Sote tunajua kwamba asilimia 99 ya waliokwapua hizo fedha ni CCM au wanashirikiana na CCM.
 
hizi tunazosoma sana humu JF mara mapacha, mara membe be careful. mara sitta ansema atahama sijui wananchi wakimwambi bla bla bla ni promo tu ya ccm kuongeza media hype kwani wameishiwa sera

Well said
 
JK kwa Lowassa ni kama mbwa anavyoweweseka mbele ya Chatu. Akina Nepi huenda wanalijua hili ila wanapiga domo tu ili siku zisogee
 
baada ya kumalizika mdahalo wa uloandaliwa na kigoda cha mwalimu nyerere kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Nyerere mh sendeka alipata nafasi ya kuongea na wanafunzi na wananchi mbalimbali ambapo alibanwa na maswali kadha wa kadha na wananchi hao ajitahidi kuyajibu kwa ufasaha lakini kubwa nililopenda ni lile la kuhusu mapacha wawili walobakia mh sendeka alijibu kwa kujiamini kwamba kikao kijacho cha NEC ndiyo mwisho wao hivyo wananchi wasiwe na mashaka:

Nieanza count down.
 
Nani atamfunga KUU LA MAPAKA kengere bila kupata dharuba? Lakini mi napata mashaka kwamba hata wao wanaotajwa wakiamua wenyewe kutoka bado hali haitakuwa shwari ndani ya chama, zoezi la kumtafuta mchawi litaendelea tu. mwisho wa yote ni mpasuko mkubwa utakikumba hicho chama. CHUKI walizonazo ndani ya chama ndo zinapandikizwa kwa umma ili ionekane haya matatizo yote hata ya kupanda bei ya sukari ni wao ndo wanasababisha, OK sisi yetu macho.
 
whats is wrong with mapacha watatu in ccm perspective?
RA hajaondoka kwa sababu ni gamba bali siasa uchwara ndani ya ccm ndo maana kwenye kampeni za igunga aliitwa kusaidia siasa hizohzo uchwara ndani ya magamba.Magamba wameponea chupuchupu huko igunga wakinunua kila kura kwa takriban sh 115000/=.Sa HV WANAOMBEA AC,EL AU MBUNGE YEYOTE ASIFARIKI kwa sababu kushndwa kunawaogopesha

kwann unapenda sana kuskia mbunge amekufa.unapata faida gani?tuwe wazalendo na tuwe na imani mioyoni mwe2 wana jf.si vyema kuombeana vifo ili kupata madaraka.
 
Nani atamfunga KUU LA MAPAKA kengere bila kupata dharuba? Lakini mi napata mashaka kwamba hata wao wanaotajwa wakiamua wenyewe kutoka bado hali haitakuwa shwari ndani ya chama, zoezi la kumtafuta mchawi litaendelea tu. mwisho wa yote ni mpasuko mkubwa utakikumba hicho chama. CHUKI walizonazo ndani ya chama ndo zinapandikizwa kwa umma ili ionekane haya matatizo yote hata ya kupanda bei ya sukari ni wao ndo wanasababisha, OK sisi yetu macho.

Hivi nyie viwavi wa cdm mambo ya ccm yanawahusu nini kaeni muandae mikakati ya kukuza chama chenu achaneni na ccm kabisa
 
baada ya kumalizika mdahalo wa uloandaliwa na kigoda cha mwalimu nyerere kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Nyerere mh sendeka alipata nafasi ya kuongea na wanafunzi na wananchi mbalimbali ambapo alibanwa na maswali kadha wa kadha na wananchi hao ajitahidi kuyajibu kwa ufasaha lakini kubwa nililopenda ni lile la kuhusu mapacha wawili walobakia mh sendeka alijibu kwa kujiamini kwamba kikao kijacho cha NEC ndiyo mwisho wao hivyo wananchi wasiwe na mashaka:

Yani mimi kwa sasa hivi akili za Sendeka nazifananisha na akili za Sitta.
 
Back
Top Bottom