iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 358
- 220
Baada ya kumalizika mdahalo wa uloandaliwa na Kigoda cha mwalimu Nyerere kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Nyerere mh sendeka alipata nafasi ya kuongea na wanafunzi na wananchi mbalimbal, ambapo alibanwa na maswali kadha wa kadha na wananchi hao ajitahidi kuyajibu kwa ufasaha lakini kubwa nililopenda ni lile la kuhusu mapacha wawili walobakia.
Mh Sendeka alijibu kwa kujiamini kwamba kikao kijacho cha NEC ndiyo mwisho wao hivyo wananchi wasiwe na mashaka:
Mh Sendeka alijibu kwa kujiamini kwamba kikao kijacho cha NEC ndiyo mwisho wao hivyo wananchi wasiwe na mashaka: