Mwisho wa dunia?

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
attachment.php

wanaJF tukio hili linaashiria nini?.....hii ni taswira ya macho angani......Taswira hii ilinaswa magharibi mwa Ukraine wakati wa kiangazi uliopita ambapo kulikuwa na mvua kubwa na radi zilizosababisha mafuriko yasiyo ya kawaida nchini humo(from michuzi blog).

Also watch this video from youtube....
[media]http://www.youtube.com/watch?v=M6Y-NjLN3nY[/media]
 
Attachments

  • tusali.jpg
    tusali.jpg
    28.6 KB · Views: 278
tehe tehe jamani Mods mnanivunja mbavu.....hii ni enternment?...anyway popote itakapokuwa.....
 
Yoyo, mwisho wa dunia ni kifo chako tu... na mpaka pale gharika kuu, tetemeko, volcano, kimondo au gadhabu za jua zitakapo amua kuangamiza kidunia hiki... kama si calamities hizo basi zile zitakazo sababishwa na wanadamu wenyewe, kama vile minyuklia au kuzaliana sana hadi kukosa chakula!!

...halafu wewe mwehu sana, kwanini sasa ume rename hiyo jpeg yako 'tusali'?? :D
 
tehe tehe jamani Mods mnanivunja mbavu.....hii ni enternment?...anyway popote itakapokuwa.....
Tena kuiweka hapa wamekupendelea, niliona picha hiyo kwenye blog moja ya nyepesi nyepesi na jokes...
 
tehe tehe jamani Mods mnanivunja mbavu.....hii ni enternment?...anyway popote itakapokuwa.....

Usicheze na silencer or painkiller.....shukuru kwanza ipo hapa wangedelete au kupeleka kwa the so called "wakubwa" hhahahahaha
 
There should be scientific explanations for that, what do they say so far? any one heard of that.
 
attachment.php

wanaJF tukio hili linaashiria nini?.....hii ni taswira ya macho angani......Taswira hii ilinaswa magharibi mwa Ukraine wakati wa kiangazi uliopita ambapo kulikuwa na mvua kubwa na radi zilizosababisha mafuriko yasiyo ya kawaida nchini humo(from michuzi blog).

Also watch this video from youtube....
[media]http://www.youtube.com/watch?v=M6Y-NjLN3nY[/media]

Khabari kubwa hii, lakini si unajuwa kabla ya huo mwisho lazima Yesu abebe wafuasi wake.

Tusome Biblia kwa ufunuo zaidi.

MWISHO WA DUNIA?
 
..halafu wewe mwehu sana, kwanini sasa ume rename hiyo jpeg yako 'tusali'?? :D
Bwana Yesu apewe sifa..
mkuu acha tu nimelala natafakari sijui itakuwaje mwisho wa dunia.....yaani kila mtu itakuwa siku ya kusaga meno...imagine pembeni yako Mkapa,shehe mtopea,papa benedikti,obama woote wanalia kwa kuogopa moto......

Khabari kubwa hii, lakini si unajuwa kabla ya huo mwisho lazima Yesu abebe wafuasi wake.

Tusome Biblia kwa ufunuo zaidi.

MWISHO WA DUNIA?
Bwana Yesu apewe sifa...
mkuu kama unajua kutafsiri ufunuo naomba utufunulie nasi tupate upako na uelewa na neno.....
Umejiandaa na mwisho wa dunia mkuu?
 
Bwana Yesu apewe sifa..
mkuu acha tu nimelala natafakari sijui itakuwaje mwisho wa dunia.....yaani kila mtu itakuwa siku ya kusaga meno...imagine pembeni yako Mkapa,shehe mtopea,papa benedikti,obama woote wanalia kwa kuogopa moto......

Bwana Yesu apewe sifa...
mkuu kama unajua kutafsiri ufunuo naomba utufunulie nasi tupate upako na uelewa na neno.....
Umejiandaa na mwisho wa dunia mkuu?

Amen

Nipo tayari mkuu. Ufunuo, I will, in the interim.

Back
Top Bottom