Mwisho wa Chenge umefika rasmi

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Watanzania wenzangu,

kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho,Chenge ambaye kwa sasa ni Mbunge na Mwenyeketi wa kamati ya Uandishi wa Katiba mpya mwisho wake hakika hakika unakaribia kuliko jinsi tunavyoamini
huyu mtu amekuwa kwenye system kwa miaka mingi na tukumbuke ni mmoja wa wasomi wachache wa taifa letu waliosoma
harvard university

yaliyotokea mwisho wa week hii ndiyo chanzo cha kumalizika kabisa kwa fisadi huyu msomi ambaye katu hakuelimika na elimu yake

Chenge amen'golewa na nguvu ya maskini walewale aliokuwa akiwadharau siku zote,maazimio ya bunge yakisimamiwa na viongozi wetu tuliowatuma Bungeni yamesababisha kummaliza rasmi fisadi nguli Chenge,kwa taarifa tu ni kwamba Chenge ndiyo ametolewa rasmi kwenye system hii mbovu ambayo ni wajibu wetu watanzania wote kuitengeneza upya,fedha zote alizopata baada ya kuwasaidia wazungu ili watutapeli kwenye manunuzi ya rada zimefikia mwisho wake rasmi,fedha zote alizopata kwenye Escrow zinafikia mwisho wake,Kamwe Chenge hatarudi kwenye system hii milele na milele na kamwe hawezi kushinda ubunge tena na atakuwa mitaani na wana system wenzake watamgeuka na ATAVUNA ALICHOPANDA!

kilichobaki sasa hivi kwa Watanzania ni kuendelea kupambana kwa kutumia viongozi wetu na huku tukiwaombea na kuchangia vyama vyetu kwa nguvu zote ili tuweze kuendelea kuivunja system kidogo kidogo kwani system imeharibika mno kiasi kwamba tukisema ni ku offload once tutasababisha vita ya maangamizi kwenye taifa letu,

nimetoka kanisani na tumemshukuru Mungu kwa hapa tulipofika soo far,

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA VIONGOZI WAAMINIFU,AMEN!
 
Sijakuelewa mwisho wakw umefikaje?!,
nilitegemea utafafanua kilichomabu au klichoangwa dhidi yake,huyu jamaa anajifanya anaijua nchi kias kwamba hawez kuharibiwa kwa machafu yake
 
Huyo jamaa kule usukumani ukisimama nae humalizi wiki wanakuzika... Labda hatashiriki kwenye dili haramu tu ila ubunge tusahau
 
Huyu aliwahi kuloga bunge zima hata kamera zilishindwa kumnasa wakati wa kesi ya rada, kilionekana kivuri tu cha dichwa lake lenye upara, huko bariadi eneo la sima hawamtaki kabisa hana msaada kabisa.
 
Kung`olewa kwa Chenge ktk nyadhifa zake bungeni na kamati ya PAC kumeongezea dosari kubwa rasimu aliyoiandaa yeye na Sitta..Ukawa wamepata pointi nyingine kubwa ya kuizamisha katiba pendekezwa!!!Mkono mchafu hauwezi kuandika katiba
Kwaheri Chenge kwa heri Magamba..kalibuni mwakani kuwa chama kikuu cha upinzani!!!
 
Ccm ikiondoka ndio mwisho wa mtemi chenge.

hapo umenena ukweli. Amefanya ufisadi mwingi sana na alikuwa hali peke yake. Sehemu kubwa ya wana ccm wameshirikiana na chenge kufisadisha nchi. hawezi kung'oka mpaka ccm iondoke.
 
rosemarie hilo ni dua la kuku kamwe halimpati mwewe..Chenge ni mtaalamu aliyebobea kwenye sheria na siasa hivyo ukimwona wa kazi gani duniani wanasema watampata lini....Usimwonee gere kwa kupata fedha hizo unachotakiwa kujiridhisha ni kama kweli fedha hizo hakustahili kulipwa au amekwiba....vinginevyo hata sala yako leo ilikuwa unamwomba shetani kwani Mungu hapokei dua za wenye husuda...
Watanzania wenzangu,

kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho,Chenge ambaye kwa sasa ni Mbunge na Mwenyeketi wa kamati ya Uandishi wa Katiba mpya mwisho wake hakika hakika unakaribia kuliko jinsi tunavyoamini
huyu mtu amekuwa kwenye system kwa miaka mingi na tukumbuke ni mmoja wa wasomi wachache wa taifa letu waliosoma
harvard university

yaliyotokea mwisho wa week hii ndiyo chanzo cha kumalizika kabisa kwa fisadi huyu msomi ambaye katu hakuelimika na elimu yake

Chenge amen'golewa na nguvu ya maskini walewale aliokuwa akiwadharau siku zote,maazimio ya bunge yakisimamiwa na viongozi wetu tuliowatuma Bungeni yamesababisha kummaliza rasmi fisadi nguli Chenge,kwa taarifa tu ni kwamba Chenge ndiyo ametolewa rasmi kwenye system hii mbovu ambayo ni wajibu wetu watanzania wote kuitengeneza upya,fedha zote alizopata baada ya kuwasaidia wazungu ili watutapeli kwenye manunuzi ya rada zimefikia mwisho wake rasmi,fedha zote alizopata kwenye Escrow zinafikia mwisho wake,Kamwe Chenge hatarudi kwenye system hii milele na milele na kamwe hawezi kushinda ubunge tena na atakuwa mitaani na wana system wenzake watamgeuka na ATAVUNA ALICHOPANDA!

kilichobaki sasa hivi kwa Watanzania ni kuendelea kupambana kwa kutumia viongozi wetu na huku tukiwaombea na kuchangia vyama vyetu kwa nguvu zote ili tuweze kuendelea kuivunja system kidogo kidogo kwani system imeharibika mno kiasi kwamba tukisema ni ku offload once tutasababisha vita ya maangamizi kwenye taifa letu,

nimetoka kanisani na tumemshukuru Mungu kwa hapa tulipofika soo far,

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA VIONGOZI WAAMINIFU,AMEN!
 
Anaenda 'likizo' kula mafao yaek, ningeelewa vizuri zaidi kama angechunguzwa kisha kufilisiwa. huu upumbavu 'kuwajibishwa' tu, hautoshi.
 
Wew unangali esrow , na RADA . Umesahau awamu ya pili ya akina sumaye. Mikataba yote ya serikali . barabara,10% amechukua yeye , mikataba yote ya madeni tanzanite , dhahabu, almasi na GES inayolikamua taifu yeye ndo mhusika mkuu .. Hapo bado manunuzi mengine makubwa ya SERIKALI kama magari na mengine huyu mtu ni TAJIRI kuliko inavyodhaniwa
Na bado escrow yumo.
Fikiri
 
Unajua chenge ni mfumo. Yupo ndani ya mfumo fisidi ambao ni kikundi kikubwa ambacho kina mikakati ya kuendelea kula. Na sasa wapo kwenye gesi. Watakwenda kwenye mafuta. Kila idara wanakula. Wana mtandao mpana sana. Kuwamaliza si kazi rahisi kihivyo. Walijenga mtandao mpana sana. Wakati change ni ag aliweka mazingira ya maswaiba wake kushika nafasi nyeti. Ag alikuwa yeye MTU wa shinyanga. DCI ndugu yake wa huko. Maadili ya viongozi pia MTU wa huko huko.PCCb pia MTU wa huko. Na hata baadaye DPP alitoka huyo. Acha wafanyakazi wadogo na watu kwenye system ambao aliwagroom. Wametengeneza sana mfumo wa ufisadi. Baba yao ni mmakuwa. Vyovyote vile ili kumfuta huyu jamaa lazima kukiondoq chama chake kwanza.
 
Hata kama ameondoka ila ni kwa kuchelewa sana sana......harasa tuliyoipata, isingekuwepo kama angeondoka mara baada ya Rada scandal. Jamaa anaroho mbaya sana, hivi ulimuona alivyokua ana-fomulate yale mapendekezo alivyoitwa spika sura yake ilivyokua??
 
Back
Top Bottom