Mwisho wa CCM umefika, mikakati inaendelea

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kama ccm walidhani cdm ipo ICU basi watakuwa wanajidanganya sana.

Cdm ni chama makini na chenye viongozi wanaofanya kazi kwa weledi mkubwa sana.

Tunawaomba wanachama wetu na wapenzi wetu na wale wasiyo na chama lkn wanapenda mageuzi basi watuunge mkono ili tutimize lengo letu la kuipumzisha ccm.

Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia.

Umoja wetu ndiyo nguvu yetu.

Peoplessssssss!!!
FB_IMG_1589212915223.jpeg

In God we Trust
 
Kama ccm walidhani cdm ipo ICU basi watakuwa wanajidanganya sana.

Cdm ni chama makini na chenye viongozi wanaofanya kazi kwa weledi mkubwa sana.

Tunawaomba wanachama wetu na wapenzi wetu na wale wasiyo na chama lkn wanapenda mageuzi basi watuunge mkono ili tutimize lengo letu la kuipumzisha ccm.

Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia.

Umoja wetu ndiyo nguvu yetu.

Peoplessssssss!!! View attachment 1447231

In God we Trust
Mwambie huyo mzee asogeze chupa yake ya maji itadondoka
 
Kama ccm walidhani cdm ipo ICU basi watakuwa wanajidanganya sana.

Cdm ni chama makini na chenye viongozi wanaofanya kazi kwa weledi mkubwa sana.

Tunawaomba wanachama wetu na wapenzi wetu na wale wasiyo na chama lkn wanapenda mageuzi basi watuunge mkono ili tutimize lengo letu la kuipumzisha ccm.

Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia.

Umoja wetu ndiyo nguvu yetu.

Peoplessssssss!!! View attachment 1447231

In God we Trust
Dah...hii picha nzuri Sana ...ni vema isambazwe...
 
Kama ccm walidhani cdm ipo ICU basi watakuwa wanajidanganya sana.

Cdm ni chama makini na chenye viongozi wanaofanya kazi kwa weledi mkubwa sana.

Tunawaomba wanachama wetu na wapenzi wetu na wale wasiyo na chama lkn wanapenda mageuzi basi watuunge mkono ili tutimize lengo letu la kuipumzisha ccm.

Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia.

Umoja wetu ndiyo nguvu yetu.

Peoplessssssss!!! View attachment 1447231

In God we Trust
Duh...
Kwa hiyo wewe hapo ndio unaona sisiemu inatoka? Wakati sisiemu wanawekeza tanzania na hadi ndani ktk vitongoji chadema mko ulaya na apiga kura wa "trump" alafu unakuja sema unaibiwa kura! Nyie kweli you are doomed by you own fate!
By the way, leo kuna jimbo la mbeya mmelipoteza rasmi. Usikwepe huu ukweli..
 
Kulipoteza jimbo la mbeya ndiyo kutaleta dawa ya corona?

Hao ulioweka picha yao hapo juu ndio dawa ya korona?
Naona sindano zinaingia vizuri sana mwezi huu, crystapen kavu kavu...
Silinde bado yupo mjengoni, poshobyake iko pale pale!
 
Kama kuishabikia ccm inabidi ukabidhi akili zako kwa chakubanga
Hiyo mikakati yenu Ni ya kupanga na hao mabeberu ndiyo mageuzi?

CCM uitoe madarakani kwa kukaa kunywa maji na watetea ushoga?

Kiukweli kushangilia mambo ya kipuuzi Kama haya inabidi ujitoe ufahamu kabisa!!

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Hao hao ndiyo mnawaomba misaada kupambana na corona

Back
Top Bottom