Mwinyi Zahera: Kocha mwenye Saikolojia ya hali ya juu kwa Wachezaji wake

Umembeza wewe.Mimi nimesema ndio maana ni kocha msaidizi wa Congo na sio kocha Mkuu.Tafsiri ni ya kwako sio ya kwangu.
 
Walisema akianza mechi za mkoani atakiona cha mtema kuni! Mwadui kapigwa na kagera sugar kadundwa, point 6 kanda ya ziwa si kidogo tena bila kevin, tshishimbi, gadiel, kakolanya. Changamoto za mishahara uchaguzi figisu za nje na ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom