Mwinyi Zahera anakuwa mjuaji mpaka anaboa

Hivi nyie simba imekuaje mnachukua hela ili mfunge Yanga?
Mana hii timu inayotoa hela kwa timu pinzani na Yanga ili Yanga afungwe sio vzr kbsa TFF chukueni hatua.
Haiwezekani hata simba achukue hela ili kumfunga Yanga. Mana Yanga haifungwi bila timu pinzani kuchukua hela kwa timu hiyo kubwa kiuchumi. Hivi Zahera vp Kagere ndo Alichukua hela kubwa sana nini mana si kwa kichwa kila

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom