Mwinyi high school

IPO mkuranga mjini,ina michepuo sikosei miwili CBG na HG....nauli 1000 kutoka mbagala rangi tatu hadi mkuranga.unatumia kama 30 minutes kufika ukitokea mbagala.ina kidato cha kwanza hadi cha sita.A- LEVEL Boys na boarding,O-LEVEL mchanganyiko na kutwa,watoto wa pale pale mkuranga,
 
Kuna mtu anaweza kunipa mawasiliano ya pale kwa sababu ningependa kujua utaratibu wa kujiunga na maswala yanayohitajika
 
Back
Top Bottom