Magufuli hajui Enlightenment Philosophy.Eti Uvccm wanasema Magufuli kama Nyerere hivi mnamtambua nyerere au mnaleta bongo filamu na magazeti mengine nayo kichefuchefu,
View attachment 417850
Watu ni wanafiki sana hapa duniani mtu anafanya upupu wakati wake anaruhusu kila kitu huriaaaa watu wakaweka mizizi ya kunyinya wanyinge sasa hivi eti bkablaaaa ntamzaba kibao kingine mtu siku sio nyingi
Nyerere alikuwa mwalimu wa chemistry na biology mkuuMagufuli hajui Enlightenment Philosophy.
Nyerere hajasoma Chemistry kama Magufuli lakini alijua umuhimu wa catalyst katika political equation kuliko Magufuli.
Hakuwa na Ph.D ya Chemistry.Nyerere alikuwa mwalimu wa chemistry na biology mkuu
mwinyi yuko sahihi sana. nyerere kama taifa hatumuenzi kwa vitendo kamwe....
Huyo Makorere kapotosha, mwalimu Nyerere alikuwa ni mtaalam wa history hakufundisha chemistry wala somo lolote lile la sayansi.Hakuwa na Ph.D ya Chemistry.
Sijasema hakusoma Chemistry. Nimesema hakusoma Chemistry kama Magufuli. Rudia kusoma.
Au Nyerere alikuwa na Ph.D ya Chemistry nisiyoijua?
Wiki inasema alifundisha Biology na English St. Mary's Tabora.Huyo Makorere kapotosha, mwalimu Nyerere alikuwa ni mtaalam wa history hakufundisha chemistry wala somo lolote lile la sayansi.
Inawezekana alifundisha kwa sababu labda ya uhaba wa waalimu wa Biology, tukumbuke kuwa hizo ni enzi za ukoloni. Lakini Edinburgh hakusomea masomo ya sayansi, nijuavyo alisoma economics na history.
Yeah. But swali si Edinburgh alisomea nini, swali ni alifundisha nini.Inawezekana alifundisha kwa sababu labda ya uhaba wa waalimu wa Biology, tukumbuke kuwa hizo ni enzi za ukoloni. Lakini Edinburgh hakusomea masomo ya sayansi, nijuavyo alisoma economics na history.
Ni kweli kabisa ni sawa na kulinganisha mlima Kilimanjaro na nundu ya ngombe
si kweli ni history na biologyNyerere alikuwa mwalimu wa chemistry na biology mkuu