Mwingira, frenandes, lusekero, kakobe, lwakatare !!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwingira, frenandes, lusekero, kakobe, lwakatare !!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by gango2, Jan 17, 2012.

 1. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  wachunga kondoo wa mungu!!!

  but kila mmoja kwenye maubiri yake haishi kusema hakuna kama yeye katika dunia hii!!!

  wengine wanajiita NABII WA MANABII, mara MTUME WA MITUMe haya bana si hatuna la kusema.

  .
  lakini nyuma ya hawa watu tunawasiwasi sana!!!!
   
 2. Abraham

  Abraham Senior Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sijaelewa hoja, Tafadhali elezea upya
   
 3. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  hata kwenye mtihani kuna wengine huwa hawaelewi na ndo mana wanafeli paper....pole
   
 4. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mbinguni mbali sana.................
   
 5. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,106
  Trophy Points: 280
  utapeli wao ndo hoja nadhani
   
 6. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mwingira, frenandes, lusekero, kakobe, lwakatare !!!!!


  Fernandes, Lusekelo


  All of them, Time will tell
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  NA NJIA NI NYEMBAMBA SANA NA WATAKAOENDA NI WACHACHE SANA ambao hawakudhaniwa
   
 8. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  bora umemwelewesha huyo....!!!
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mwakasege je? Yupo kundi lao au?
   
 10. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ivi hilo nundu hapo usoni ulifanyaje mkuu gango?
   
 11. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,139
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  Wote hao wako ki Fedha zaidi.
   
 12. M

  Mnyaturu Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa nini mtu uwe na mashaka na watumishi wa MUNGU.jamani tuangale kunsehemu kosa limefanyika either kwetu sisi au kwa watumishio tujipange upya.kwa safari ya kuelekea .
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Shika sana ulichonacho asije mwovu akakichukua!
   
 14. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Na kwa mungu siyo kwa mzungu ha2end kwa PASSPORT.
   
 15. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Haleluya we umenena.mbinguni ni mbalĂ­ sana hao wanaojiita mitume,manabii,sijui nini upako kwa kweli kufika mbingu itakuwa taabu sana.na nawaonea huruma kwani hawajui kuwa wao hawatafika mbinguni bwana yesu asifiwe.
   
 16. MUSONI

  MUSONI JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Wapendwa Shalom,
  Sina kipingamizi na Imani za watu lakini kuna vitu viliniudhi hasa huyo anayejiita MWINGIRA kitendo cha kumtukana Mkuu wa nchi kwa matusi kama yale ya nguoni hakikubaliki. yeye ahubiri kivyake na wanokwenda kwake lakini atuachie amani yetu.
  Biblia na vitabu vyote vitakatifu vinasema MHESHIMU BABA NA MAMA YAKO NA WENGINE WOTE WENYE MAMLAKA.
  Issue za pete na makabuli zinatoka wapi hapa.
  MWINGIRA BEHAVE.
   
 17. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  na Askofu kakobe kawakose nn tena sidhani kama kakobe anausika kwenye hoja hii
   
 18. i

  isoko Senior Member

  #18
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wakuu ni 10% tu hakuna kingine.
   
 19. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hizi ni nyakati za mwisho maana watakuja hata ambao labda watajiita wao ndo Mungu..Subiri kidogo tu
   
 20. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hatuzungumzii makosa yao, tunazungumzia usanii wao. Wote hawa Kaole
   
Loading...