Jamaa wana fitina! UEFA Wamewatoa wa-Russia kwenye mashindano... ili Mwingireza apete
Hawajatolewa, wamepewa onyoJamaa wana fitina! UEFA Wamewatoa wa-Russia kwenye mashindano... ili Mwingireza apete
Ingekuwa africa sijui kama ingeishia hapo lazima tungenunia balaa
Pia hiyo nihatari sanaNimecheka sana...Baadhi ya magazeti ya Uingereza leo yameandika habari na kumnukuu mmoja wa Wabunge wa Bunge la Russia akiwasifu Warusi hao na kuwapongeza kwa namna kundi la Warusi 216 lilipowavurumisha na kuwakimbiza mithili ya mbwa mwizi kundi la Waingereza 1,000 ambao walikuwa wanakimbia kuokoa maisha yao kutokana na kipigo kikali kutoka kwa Warusi hao wachache...
wao wanakununia moyoni na si usoni na hawasahauIngekuwa africa sijui kama ingeishia hapo lazima tungenunia balaa
Pia hiyo nihatari sana
Sio sifa
Ila tayali ujumbe umewafikiaHakuna cha sifa kwa makundi yote...kinachofurahisha kwa baadhi yetu ni namna magazeti ya Uingereza yanavyojitahidi kutaka kuweka propaganda kama yalivyozoea kuonyesha kuwa ni Warusi ndiyo chanzo cha vurugu
Ila tayali ujumbe umewafikia
MICHEZO Maamuzi ya serikali ya Uingereza, baada ya mashabiki wake kupigwa Ufaransa By Rama Mwelondo TZA
onJune 14, 2016 COMMENTS
Ni siku chache zimepita toka michuano ya Euro 2016 ianze na tushuhudie mchezo kati ya timu ya taifa ya England dhidi ya timu ya taifa ya Urusi ikimalizika kwa sare ya goli 1-1, katika mchezo huo vurugu zilitokea na mashabiki wa England waliripotiwa kupigwa na mashabiki wa Urusi.
Baada ya vurugu hizo serikali ya England imethibitisha kupeleka maafisa usalama wake katika mchezo wa pili wa England itakaocheza dhidi ya Wales June 16 2016, maamuzi hayo yanakuja saa chache baada ya Ufaransa kuwarudisha mashabiki 29 wa Urusi nchini kwao kufutia vurugu hizo.
Maamuzi ya serikali ya Uingereza, baada ya mashabiki wake kupigwa Ufaransa - MillardAyo.Com
Sijaipata hiyoSawa, umeweka vizuri...ila 'umesahau' kuweka kuhusu mashabiki sita wa Uingereza waliohukumiwa kifungo kutokana na vurugu hizo.
Mkuu hawa mashabiki wa Uingereza wanatabia ya kupenda vurugu hata mechi ya Liverpool na Juve walisababibisha maafa kule Belgium ila hawatathubutu kuleta vurugu kwenye kombe la dunia huko Urusi kwa sababu wanajuwa polisi wa Urusi hawatawachekeaHakuna cha sifa kwa makundi yote...kinachofurahisha kwa baadhi yetu ni namna magazeti ya Uingereza yanavyojitahidi kutaka kuweka propaganda kama yalivyozoea kuonyesha kuwa ni Warusi ndiyo chanzo cha vurugu