mwanaizaya
Senior Member
- Apr 26, 2008
- 133
- 1
Ndugu wana JF kwa huzuni kubwa na masikitiko napenda kuwataarifu ule mwili wa mpendwa wetu
ULIMBOKA
MWAKIFUNA
aliefariki hapo wichita uko USA kwa ajali ya moto utaingia hapa TANZANIA saa nane mchana na ndege ya afrika ya kusini...ukiwa kama ndugu rafiki na mwana jf mpenda watu unakaribishwa katika kuwafariji wazazi wa marehemu mke na watoto.....tunapenda kuwataarifu mwili utatokea sehemu ya mizigo yaani CARGO......hivyo wengine waelekee uwanja wa sasa,,,na wengine tunawaomba waelekee CARGO barabara ya kuelekea uwanja wa zamani wa ndege .....mungu awape faraja familia ya marehemu
"BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE"