Mwili wa Mwanaharakati Caroline Mwatha aliyepotea umekutwa Mochwari

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,514
47,736
Polisi wamewakamata watu sita na kuumbua mtandao wa shughuli nzima kwa kufuatilia mawasiliano ya simu baina ya wahusika. Baadhi ya waliokamatwa ni daktari aliyehusika kwenye shughuli hiyo ya kumtoa mimba, pia mchepuko wake (maana mumewe anaishi Dubai).

Hizi taarifa za polisi zikibainika kuwa kweli zitapunguza hasira za Wakenya maana haya mambo ya wanaharakati kutoweka yaliisha kitambo na tulikua tumezoea kuyaskia kwa nchi majirani, itakua ovyoo sana kujarbu kuturudisha nyuma baada ya harakati zote tulizofanya za kuboresha nchi yetu kidemokrasia na kiuchumi.

======

Police say they have arrested six people in connection with the death of human rights activist Caroline Mwatha, whose body was found at City Mortuary on Tuesday nearly a week after she went missing.

According to the Director of Criminal Investigations George Kinoti, Ms. Mwatha died following a botched abortion procedure at a clinic within Dandora Phase 1 in Nairobi on February 6, 2019 — the day she went missing.

Mr. Kinoti pointed out that police investigations indicate that Ms. Mwatha died in the clinic and the body was transferred to the Nairobi City Mortuary on February 7, 2019 at 4:42a.m.

“On February 6, 2019, Caroline went to a clinic known as New Njiru Community Centre within Dandora Phase 1. It is believed an abortion procedure was procured by the owner of the clinic namely Betty Akinyi Nyanya alias Betty Ramoya and one purported ‘Dr’ Michael Onchiri Dr. Mike,” read the statement in part.

The DCI boss further stated that investigations showed that prior to her death, Ms. Mwatha was in constant communication with a man identified as Alexander Gitau, who works in Isiolo, and is said to be her boyfriend.

According to police the communication was about “an intended abortion of a five-month old pregnancy.”


Mr. Kinoti added that an unidentified doctor, who was reportedly supposed to conduct the procedure, demanded Ksh.7,000 but lowered it down to Ksh.6,000 after negotiations; money which was allegedly sent to Ms. Mwatha by the alleged boyfriend.

The six, who have since been arrested are; the clinic owner Betty Akinyi Nyanya alias Betty Ramoya, Richard Ramoya Abudo (son to Betty), Georgia Achieng Tabitha, Michael Onchiri alias Dr. Mike, Alexander Gitau Gikonya (boyfriend) and a taxi driver identified as Stephen Maina.


Mr. Kinoti further stated that Ms. Mwatha’s body, as indicated by mortuary records, was brought by a motor vehicle of registration KBP 677B.

He, however, added that her name was at first captured as Carol Mbeki, and not Caroline Mwatha, under tag number 1495.

Meanwhile, the family and her fellow human rights activist have rejected the abortion claim and are demanding an independent autopsy.


https://citizentv.co.ke/news/six-ar...ications&utm_campaign=onesignal_notifications
 
Mwili wa mwanaharakati nchini Kenya Caroline Mwatha umepatikana katika chumba cha kuhifadhia maiti cha City Mortuary mjini Nairobi
-
Caroline Mwatha alikuwa mwanaharakati aliyefanya kazi katika Shirika la Haki la kijamii katika kitongoji cha Dandora mjini Nairobi
-
Shirika hilo huchunguza na kuandika kuhusu visa vya mauaji ya kiholela yaliotekelezwa na maafisa wa Polisi hususani katika vitongoji vinavyoshuhudia uhalifu mkubwa Nairobi
-
Caroline ameacha mume na watoto wawili na alionekana mara ya mwisho Jumatano ya wiki iliyopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mijitu ya lumumba ilikuwa inatamani kweli tukio ili liwe kama matukio ya hapa kwetu.ila wenzetu wameshapita uko hawapo...
 
Apumzike kwa Amani.

Kama kisa kilichopelekea kifo chake ni kweli basi amefanya kosa kulingana na nafasi yake ya awali kabla ya kifo hicho. Hata hivyo,taaluma zetu na kazi zetu hazituondolei udhaifu wa kibinadamu tulioumbwa nao.

R.I.P Caroline

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apumzike kwa Amani.

Kama kisa kilichopelekea kifo chake ni kweli basi amefanya kosa kulingana na nafasi yake ya awali kabla ya kifo hicho. Hata hivyo,taaluma zetu na kazi zetu hazituondolei udhaifu wa kibinadamu tulioumbwa nao.

R.I.P Caroline

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mbaali naona ukimsapoti kwa alichofanya. Mapungufu ya kibinadamu hayatoshi kuwa sababu ya yeye kufanya mauaji ya kiumbe kisicho na hatia
 
Bwana yake mara nyingi alikuwa nje ya Nchi kwa shughuli za kibiashara hivyo akapata mwanya wa kupeana tunda lake.
 
mtetezi wa haki za BINADAMU lkn anamuua BINADAMU aliyeko tumboni mwake.
KWELI ni maajabu.
lkn ngoja tuache tu MAANA hatujui KAMA alikufa kwa ajili HIYO.
 
mtetezi wa haki za BINADAMU lkn anamuua BINADAMU aliyeko tumboni mwake.
KWELI ni maajabu.
lkn ngoja tuache tu MAANA hatujui KAMA alikufa kwa ajili HIYO.
Autopsy imekuwa released leo hii, tena na pathologist ambaye alichaguliwa na familia ya mwendazake. Ule unyama ambao ulifanyiwa huyo mtoto, we acha tu bana.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom