Ndahani Platinum Member Jun 3, 2008 18,119 9,049 Oct 5, 2012 #41 Hii nchi ina watu wasiotumia vichwa kiasi hicho? What difference does it make mtu akizikwa huku au kule? Kumbe mpaka maiti nazo zinatofautiana?
Hii nchi ina watu wasiotumia vichwa kiasi hicho? What difference does it make mtu akizikwa huku au kule? Kumbe mpaka maiti nazo zinatofautiana?
Mkirua JF-Expert Member Sep 9, 2010 5,647 2,498 Oct 5, 2012 #43 Tunaendelea kuwafahamu....Tuna kule kule kwa mlezi wao....msg sent.
Inside10 JF-Expert Member May 20, 2011 26,060 23,940 Oct 5, 2012 #44 allantence said: hapo mkuu unakosea . Click to expand... mkuu gani/nani? Anyekosea mimi nlyepost habari hii au?
allantence said: hapo mkuu unakosea . Click to expand... mkuu gani/nani? Anyekosea mimi nlyepost habari hii au?