warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,378
hili ndilo jeneza ambalo mwili wa marehemu albert mangwair umeifadhiwa,bado mwenzetu aja rest in peace mpaka apo watakapoamua kumuifadhi kwenye nyumba yake ya milele,bwana ametoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe....
Hilo swali umeliokota wapi?rudi hapohapo ulipoliokota utakuta na majibu yake hapo.
kwani litamfanya asioze mkuu???
Me love this perfect answer.Hilo swali umeliokota wapi?rudi hapohapo ulipoliokota utakuta na majibu yake hapo.
kwani litamfanya asioze mkuu???
Acha ungese wewe!! Kama huna cha kuandika si ukae kimya tu... Kuliko kuandika haya maupuuzi yako hapo..
Hata mimi ningependa kujuwa jamaa kafa kwa sababu gani?