Mwili wa kichanga waokotwa dampo huko Mwanza

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,961


Mwili wa kichanga umeokotwa kwenye dampo la taka Kilimahewa kwa Msuka huko Ilemela Mwanza ukiwa umetupwa na mtu asiyefahamika
Mwili huo uligunduliwa na watoto waliokuwa wanaokota mifuko ya plastiki katika dampo hilo
Wananchi wanaoishi karibia na eneo hilo walioshuhudia wamesikitishwa sana na tukio hilo na kuwaasa watoto wa kike wasiokuwa na uwezo wa kulea ni bora wangetumia njia za kujilinda kupata mimba kuliko kufanya ukatili huo
Mwili huo umechukuliwa na plisi kwa uchunguzi zaidi na wanamsaka mtu aliyefanya tukio hilo
 
Ndo dada zetu hawa .. Wazur sana kwenye kuchanua mapaja kitandani.. Ila kuchanua mapaja labor hawawez.. Wanawake wa mwendombio hao
.. Wanakimbilia mambo makubwa alaf hawayawez..
 
Back
Top Bottom