Mwili wa Ismail Omar hautafika NMC?

Status
Not open for further replies.
Tafadhali jamani, Kama hamfahamu taratibu za mazishi ya muislamu bora mkae kimya.
Muislamu akifa sharti afanyiwe mambo manne na sivinginevyo.
1.Kuoshwa
2.kuvikwa sanda
3.kuswaliwa
4.kuzikwa

Hao wengine walioagwa kwa mbwembwe na gharama nyingi za serikali SI WAISLAM?
 
Matukio Jiji Arusha na ndio watu wanajiandaa kwa ajili ya kwenda kuaga miili ya marehemu pala NMC CIMG4520.JPG CIMG4523.JPG CIMG4521.JPG CIMG4532.JPG CIMG4525.JPG CIMG4528.JPG CIMG4529.JPG CIMG4526.JPG CIMG4531.JPG
 
Uko sahihi mkuu, lakini sababu yao siyo privacy, kama umenisoma vizuri kwenye post zangu zingine katika thread hii

Sielewe kwa nini uwa label wasaliti kwa kuamua kufanya wanachotaka kufanya kwa maiti yao (hata kama ni kupokea pesa)

Wamekusaliti kwa lipi?
 
hukatazwi kuamini hivyo nakuendelea kutaka kutudumaza kwa propaganda ,ni hiari yako nadhani unaushahidi nchi nzima inajua tone la damu la wananchi wa Arusha imekuwa chachu ya kuelekea kwenye njia nyeupe ya kuzika udharimu,unyonyaji,ukandamizaji,ufujaji wa mali za umma na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na kwenye siasa za kweli za utawala bora ,uadilifu na utimilifu katika kuijenga nchi yetu,Mungu aweke pema peponi roho za marehemu hawa

Njia ipi Chadema wametumia innocent by standers kuwatoa kafara for their political vendeta??? Endeleeni na Wishful Thinking zenu. Safi sana ndugu zake Ismail kwani ni haramu kwa maiti kufanyiwa sherehe za kisiasa. Marehemu haki yake ni kuoshwa, kuvishwa sanda , Kuswaliwa na Kuzikwa basi hakuna siasa ndani.
 
Hao wengine walioagwa kwa mbwembwe na gharama nyingi za serikali SI WAISLAM?

sheikh mkuu wa zanzibar hakuwa muislam,dr omary ally juma na kawawa je hachana na wengine wengi walioagwa je?ficha ujinga wako wewe
 
Hao wengine walioagwa kwa mbwembwe na gharama nyingi za serikali SI WAISLAM?

Niliwasikia Waislam kusema wanachofanyiwa viongozi wa serikali waislam waliokufa si sahihi kwa dini yao.

Besides ufataji wa dini yoyote una grade, kuna waislam wengine hawali nguruwe wakati wengine wanakula na wote ni waislam.

Kwa hiyo muislam mmoja kufanya kinyume na dini yake hakuwi sababu tosha kuwa wengine wafanye
 
sheikh mkuu wa zanzibar hakuwa muislam,dr omary ally juma na kawawa je hachana na wengine wengi walioagwa je?ficha ujinga wako wewe

Sidhani kama tatizo liko kwenye kuaga mwili wa marehemu.
Tatizo liko kwenye namna ya kuaga miili hiyo.

If muislam haamini kuwa Jesus ni mungu (na dini yake inachukulia kuwa hiyo ni kumshirikisha Mungu) na kuagwa kwake kutahusisha kuombewa kwa Yesu ampokee mbinguni, sidhani kama ni sahihi kwake.
 
Njia ipi Chadema wametumia innocent by standers kuwatoa kafara for their political vendeta??? Endeleeni na Wishful Thinking zenu. Safi sana ndugu zake Ismail kwani ni haramu kwa maiti kufanyiwa sherehe za kisiasa. Marehemu haki yake ni kuoshwa, kuvishwa sanda , Kuswaliwa na Kuzikwa basi hakuna siasa ndani.
hujakatazwa kuwa na maoni yako kama wewe unaona tuna wishiful thinking wakati Baraza la mawaziri la KIKWETE limemeguka,Membe analamba miguu ya wafadhili kwa kutoa pole kwa wafiwa Arusha,huku disapproval rate ya KIKWETE ikipanda more than 70% chini ya siku 100 tangu aapishwe,huku kukiwa na manunquniko kutoka kwa wananchi kutoka nyanja mbalimbali hoya wee sii itaji mahubiri yako mwenzangu macho tunayo na tunaona serikali ya KIKWETE inavyoyumba na si mda mrefu itaanguka mwereka puu
 
Another wishful thinking who nani amekuambia kuwa membe amewalamba miguu. Kama umesoma vizuri statement ya membe kuwa yale ni maoni yake na alichokisema ni kuwa Polisi hawakutakiwa kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji but hakulaani. Sitta anapinga kwa vile ana hasira na kukosa uspika everyone knows it in fact mie ningelikuwa JK nisingelimpa uwaziri in the first place but hata ningelimpa uwaziri wa EA unamfaa maana utamshughulisha ingelikuwa vema Sitta akajikita kutekeleza majukumu yake ya uwaziri venginevyo ndio anajimaliza kisiasa.

Hizo approval ratings sijui umezifanyia humu JF au wapi but they are too good to be true anyway kila la kheri mkuu ila jiulize akiondoka JK nani anaweza kuitawala Tanzania. Kwani 90% ya waislamu hawampendi Dr Slaa, na pia 30% wakristo hawampendi Dr Slaa kutokana na kuwa msimamo dume usioshaurika kwa wenzie sasa tujiulize ataiweza nchi?
 
Sidhani kama tatizo liko kwenye kuaga mwili wa marehemu.
Tatizo liko kwenye namna ya kuaga miili hiyo.

If muislam haamini kuwa Jesus ni mungu (na dini yake inachukulia kuwa hiyo ni kumshirikisha Mungu) na kuagwa kwake kutahusisha kuombewa kwa Yesu ampokee mbinguni, sidhani kama ni sahihi kwake.
kwa hiyo una maana CHADEMA ni wapuuzi kiasi hicho wasiweke sheikh kumswalia? Mie ni Muislam mwenzio ila hicho unachoongea unaniabisha ndg!
 
another wishful thinking who nani amekuambia kuwa membe amewalamba miguu. Kama umesoma vizuri statement ya membe kuwa yale ni maoni yake na alichokisema ni kuwa polisi hawakutakiwa kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji but hakulaani. Sitta anapinga kwa vile ana hasira na kukosa uspika everyone knows it in fact mie ningelikuwa jk nisingelimpa uwaziri in the first place but hata ningelimpa uwaziri wa ea unamfaa maana utamshughulisha ingelikuwa vema sitta akajikita kutekeleza majukumu yake ya uwaziri venginevyo ndio anajimaliza kisiasa.

Hizo approval ratings sijui umezifanyia humu jf au wapi but they are too good to be true anyway kila la kheri mkuu ila jiulize akiondoka jk nani anaweza kuitawala tanzania. Kwani 90% ya waislamu hawampendi dr slaa, na pia 30% wakristo hawampendi dr slaa kutokana na kuwa msimamo dume usioshaurika kwa wenzie sasa tujiulize ataiweza nchi?

mr crap mwaga pumba tuburudike
 
plz rewrite yout topic title. You said it is 'confirmed'....
 
Njia ipi Chadema wametumia innocent by standers kuwatoa kafara for their political vendeta???

Kama muhusika Marehemu (RIP) alikufa wakati wa struggle (maandamo) therefore it means he was doing something which he believes in....

Therefore dont you think he would like to be remembered for something he was fighting for....., Dont you think he was part of that struggle (no matter if you, me or whoever dont believe in it..)

Remembrance is but a small price to pay for those who were struggling together..... remember the Gentleman died doing what he believed, who are we to say otherwise...
 
jui ulitendalo bola unyamaze au urudi kwenu ukafuge kuku, unafananisha msiba na dili ya kisiasa ama wewe punguani??
 
Another wishful thinking who nani amekuambia kuwa membe amewalamba miguu. Kama umesoma vizuri statement ya membe kuwa yale ni maoni yake na alichokisema ni kuwa Polisi hawakutakiwa kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji but hakulaani. Sitta anapinga kwa vile ana hasira na kukosa uspika everyone knows it in fact mie ningelikuwa JK nisingelimpa uwaziri in the first place but hata ningelimpa uwaziri wa EA unamfaa maana utamshughulisha ingelikuwa vema Sitta akajikita kutekeleza majukumu yake ya uwaziri venginevyo ndio anajimaliza kisiasa.

Hizo approval ratings sijui umezifanyia humu JF au wapi but they are too good to be true anyway kila la kheri mkuu ila jiulize akiondoka JK nani anaweza kuitawala Tanzania. Kwani 90% ya waislamu hawampendi Dr Slaa, na pia 30% wakristo hawampendi Dr Slaa kutokana na kuwa msimamo dume usioshaurika kwa wenzie sasa tujiulize ataiweza nchi?
Statement ya Membe jana imeishia nakuwatahadharisha mabalozi kwamba wasubiri taarifa kamili ya serikali ili wakipeleka taarifa kwenye nchi zao iwe na upande wa pili hiyo tuu inatosha kuonyesha kwamba ni uoga wa aina fulani ndio ulimpelekea kuitisha kikao kile kwa dharura,katika serikali ya KIKWETE kuna ombwe kubwa la uongozi mawaziri na watendaji wakuu wamekuwa wakipingana katika kila jambo wazi kabisa,manake kuna uncoordinated statements na chama chake ndio kabisa kuna uhuni mkubwa kila mtu anabwabwaja.Swala la diapproval rate li wazi kabisa,tena sana utawala wake umeshaanguka bahati mbaya sana tena sana naipenda nchi yangu lakini huyu mtawala KIKWETE ovyo kabisa ameshindwa kunctrol chama chake kama mwenyekiti na hii ni kwa sababu aingia kwa njia ya panya kumbuka mtandao ambao umesambaratika na unamtafuna kwa haraka,na chaguo lake la mawaziri , mmh wamemgeuka wamemuasi hakuna serikali hapo
 
kwa hiyo una maana CHADEMA ni wapuuzi kiasi hicho wasiweke sheikh kumswalia? Mie ni Muislam mwenzio ila hicho unachoongea unaniabisha ndg!

Niwie radhi.

Siongelei msimamo wangu hapo nnachoongelea ni misimamo iliyotolewa na watu wakati wa kifo cha Dr.Omar kuwa kilichofanywa hakikuwa Islamic

Misiba ya Kiislam haiambatani na mitutu ya bunduki, kufunikwa bendera wala nyimbo za maombolezi

Misiba inayojumuisha watu wa dini tofauti tutake tusitake itajumuisha kuombewa dua kwa imani za pande zote husika

Sasa hapo ni suala la mtu binafsi yuko willing kiasi gani ku-compromise mafundisho ya dini yake na ndio nikasema kuna grade ya namna ya kufata dini husika
 
Kama muhusika Marehemu (RIP) alikufa wakati wa struggle (maandamo) therefore it means he was doing something which he believes in....

Therefore dont you think he would like to be remembered for something he was fighting for....., Dont you think he was part of that struggle (no matter if you, me or whoever dont believe in it..)

Remembrance is but a small price to pay for those who were struggling together..... remember the Gentleman died doing what he believed, who are we to say otherwise...

Mkuu unakumbuka nilikuambia siku moja kama mtu unaifahamu sheria you have to be angry at the right time, right manner and place sasa hembu nikuulize hilo limefanyika Arusha kuwa muwazi mkuu.
 
Waislamu wana haki ya kufanya vyovyote na maiti ya Ismail,taratibu za kidini zifuatwe na ziheshimiwe......taratibu zisibadilike kwa sababu za kisiasa.Privacy ya familia pia iheshimiwe si kusema wamepewa hela sijui wamehongwa,its up to the family!!! Najua watu wanataka kuwapa heshima ya mwisho wanayostahili,lakini kama zinakiuka matakwa ya familia na kuvunja taratibu za kidini,basi!
 
Live! Miili yote miwili sasa inaelekea NMC. Ccm, polisi na bakwata feki wameshindwa. Ni saa 8.13 mchana tunakatiza ofisi ya mbunge lema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom