Mwili wa DR. MGIMWA kuwasili JUMAMOSI

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Mwili wa aliyekuwa waziri wa fedha mh. Dr. William MGIMWA unatarajiwa kuwasili jumamosi.
Source ITV HABARI.
 
R.I.P Dr Mgimwa

Mbunge wangu wa Kalenga.

Umetuletea heshima kubwa wanakijiji wa Kalenga na Iringa kwa ujumla kutoa waziri wa Fedha.

Utakumbukwa daima kama kwa jinsi ulivyopanda ngazi moja na nyingine mpaka ukawa waziri just kwa utendaji wako

Rais alikuchagua kutokana na utendaji wako/cv.

WE WILL ALWAYS MISS YOU
 
Ni masikitiko makubwa ktk nchi yetu kwa kumpoteza kiongozi shupavu ,ambaye alikuwa ameanza kuonyesha muelekeo mzuri wa uchumi ktk nchi yetu lakn mungu alitoa na mungu ametwa jina lake lihimidiwe,amen
 
Back
Top Bottom