Kwa nini mlimuua mtu asiye na hatia??????????, kisa siasa!!!!! Hapana hapana!!!!! acha azikwe kwa heshima zote za kichama. mlikatisha maisha yake hata sherehe yake ya mwisho hamtaki!!!!!!!!!!!! Utu ni zaidi ya madaraka na kujipendekeza fungua macho nyinyi mtaisha lakini Tanzania itaendelea kiwepo na vizazi vyake.
Leo nameambiwa wameichangia familia ya Marehemu Mawazo takribani mlioni 30. Wanachama wangapi wa chadema wamefariki na hawaja wachangia kiasi kama hicho?????
Huu mwili umeishakuwa mradi wa kisiasa.
Marehemu ALPHONCE. MAWAZO. roho yake imepumzika kwa sasa mbele ya mja wetu aliopo mwingine
Mwili wake umebaki unazungushwa kama piya na wana siasa katili wasionahuruma hata na mwili wa marehemu kisa tu siasa za maji taka ametolea monchwari geita na kuletwa mwanza monchwari piya sijui ile ya geita ilikua na joto kali
Mwili wa marehemu umekua kama maonyesho ya wana siasa poleni sana. wana ndugu najua hmna lakusema au kufanya kwa sababu wanasiasa wameshaingilia kila kitu.
Leo nameambiwa wameichangia familia ya Marehemu Mawazo takribani mlioni 30. Wanachama wangapi wa chadema wamefariki na hawaja wachangia kiasi kama hicho?????
hayo ni matatizo ya kuwa na wanasiasa ndina wasioweza kujenga hoja wakasikika,wanadandia matukio tu.kutafuta umaarufu kwa njia kama hizi ni upuuzi mkubwa sana.. Sina hakika kama akili za viongozi zinawatosha... Hili la umaarufu wanalolitafuta litageuka kuwa laana
polisi wamefanyaje?
mtaji wa wafu. wanageuzwa mashujaa pasipostahili ili kuweka joto na hamasa ya kisiasa juu dhidi ya chama tawala.Hebu fafanua ni mtaji gan unazungumzia?????????????
Halafu mwenyekiti mzima jamani hata msaidizi au mpambe mmoja hana. Amekatwa mapanga mchana kweupe kaachwa pembeni mwa barabara peke yake bila msaada wo wote wala mtu wa kumsaidia. Tengeni fungu la pesa angalau dogo tu vigogo wa chama kama huyu wapate angalau mlinzi japo mmoja tu. This is not right kabisa!kipaumbele cha kwanza ELIMU,cha pili ELIMU,cha tatu ELIMU ... MWENYEKITI WA CHADEMA GEITA mlitaka azikwe vipi?
Unaposema hili suala wanaligeuza KISIASA mahjui huyu ni mwanachama na mwenyekiti wa mkoa?
Tunaona wanafariki viongozi wa dini wanazikwa na wafuasi wao, wanafariki wanamichezo wanazikwa na wapenzi wao, wanafariki wanasiasa na viongozi wetu wanazikwa na wananchi, wanafariki wasanii wanazikwa na wapenzi wao ... Nchi hii tunataka kuipeleka wapi na huu ushabiki usiokuwa na kichwa wala miguu, yani tunashindwa hata kutafakari tu na kujiuliza kama MAREHEMU ALIKUWA MWENYEKITI WA MKOA maana yake alikuwa mwenyekiti wa kitaifa, je haya yanayotokea alistahili au hakustahili? Utakavyoona Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki
Huu mwili umeishakuwa mradi wa kisiasa.
kweli mmejichokea mpaka mnatumia kifo cha mtu kisiasa. RPC KISHA SEMA NO.Mkileta za kuleta mtamsindikiza huyo mwenzenu jehanamu.