Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,653
Am Good MziziMkavu
Last edited by a moderator:
Mpaka ufe ndio utapona... una dhani sifa eee...ninawapenzi wawili nilifanyanao wote siku moja muda tofauti lakini bado sikuridhika nikaenda kununua barabarani lakini condm ili chanika kwa sababu nanii yangu huwa ni ndefu na nina tumia nguvu sana kufanya hivyo mara kwa mara huwa condm zinachanika ila kwa hili tatizo nitajitahidi kujizuia na nina mpango wa kuoa ili ni tulie eehe mungu nisaidie
Cha kwako kinakudanganya hii kitu ipo uptodate kabisa ilipostiwa last sunday 2 sep 2012... je yako inasemaje? au king'amuzi chako ni cha kichina? wewe Mrembo King'astiBado naangalia tarehe! Hii post ni ya mwaka na mwezi huu ama ni king'amuzi kinanidanganya?
Wewe ni Mkenya? hebu mwandikie kwa Kiswahili haya sasa ndio tungeyapata kama Serikali Wangeleta Madaktari kutoka Irani lazima wawepo na wakalimani!
Sasa ikipasuka unaendelea kusugua chuku chuku?
Mpaka ufe ndio utapona... una dhani sifa eee...
Kuna mbwa wangu akisikia hata harufu ya kiatu tu basi atakirarua na usikitamani sasa bwashee huyu dogi sijui ange kuona angekufanya nini???
Kama hata pafyum ime dunda!we
kaishi porini na Nyani tu!
asante kwa mchango wako siyo kwamba nilikuwa nadhani sifa bali nilikuwa nashindwa kujizuia ila kwasasa nadhani hata akili imebadilika na ninamuda mrefu sasa sijafanya na nimeweza namuomba mungu anisaidie na namatumaini kuwa nitapona na nitatulia kwenye ndoa yangu.usiombe yakukute mkuu
Wadau habari zenu
Naombeni dawa ya kikwapa!!
Kikwapa changu kinatema mbayaaa...mpaka aibu
Haswa napotembeana sana ama wakati joto kali.
Naombeni tiba plizzz...
Mkuu tumia ukoko wa ugali,, ukimaliza kuondoa ugali kwenye sufuria tia maji kdogo sana ili ule ukoko ulainike vizuri, then chukua ule ukoko unasugulia kwapani ni dawa nzuri sana ilishamsaidia mdogo wangu, baada ya cku 3 hautakaa ukisikie tena kikwapa halafu unywe maji ya kutosha
wadau habari zenu
naombeni dawa ya kikwapa!!
Kikwapa changu kinatema mbayaaa...mpaka aibu
haswa napotembeana sana ama wakati joto kali.
Naombeni tiba plizzz...
jaribu kunywa maji mengi angalau lita 3 hadi 4 kwa siku kisha fanya mazoezi ya kukimbia kila mara au badala ya kutembea kwa miguu nunua baiskeli endesha nyakati za jioni angalau maili 10 kwa siku.
Hii maili 10 ni kama saa1 ya mazoezi ya kawaida
Punguza mawazo(stress) kwani hili nalo linaweza kuchangia mwili wako kutofanya kazi vizuri na kuongeza tatizo lingine kama la kunuka mdomo,mkojo kuwa na harufu kali,kuzorota kwa afya yako n.k
Haya yote ni bure kabisa lakini pia unaweza nunua vikorombwezo vya dukani wakati unaendelea na dozi yako ya maji na mazoezi.
Pia kama una gym karibu yenye sauna au stimu rumu nenda kakae stimu rumu ni nzuri kwa kufungua matundu ya ngozi.
Wadau habari zenu
Naombeni dawa ya kikwapa!!
Kikwapa changu kinatema mbayaaa...mpaka aibu
Haswa napotembeana sana ama wakati joto kali.
Naombeni tiba plizzz...