Mwili kutoa harufu (body odor): Chanzo, jinsi ya kuzuia na matibabu yake

ninawapenzi wawili nilifanyanao wote siku moja muda tofauti lakini bado sikuridhika nikaenda kununua barabarani lakini condm ili chanika kwa sababu nanii yangu huwa ni ndefu na nina tumia nguvu sana kufanya hivyo mara kwa mara huwa condm zinachanika ila kwa hili tatizo nitajitahidi kujizuia na nina mpango wa kuoa ili ni tulie eehe mungu nisaidie

Namuonea huruma huyo utakae muoa..maana atarithi magonjwa
 
Mkuu DUME condom siku hizi jelo tu jaribu kuwa unatumia utapoteza uzao
 
pole sana kwa kweli unaumwaa japo inawezekana kuna mut kakutuma lakini naamini humu majibu utapata bure watu wana upako wa kutoa ushauri bure(haya nyie rafikizake serikali msaidieni basi mwanaume mwenzenu uanaume wake uko haarini msiuchune au kugoma ala!si chakuwalipa hatuna tunatanguliza shukrani zetu kwa matibabu ya bure mtakayompatia yeye na wengine wasiosema)
 
Kuna mbwa wangu akisikia hata harufu ya kiatu tu basi atakirarua na usikitamani sasa bwashee huyu dogi sijui ange kuona angekufanya nini???
Kama hata pafyum ime dunda!we
kaishi porini na Nyani tu!

asante kwa ushauri wako na nitaufanyia kazi kadri nitakavyo weza
 
It is easy to make lighthearted humor about a bad body odor, attributing it to poor hygiene and the need to "take a bath", but body odor can sometimes be the principle sign of a serious health condition. If the source for body odor is medical, no amount of personal hygiene care will cure the body odor problem.

Most cases of body odor will be shown to have a relatively simple cause such as poor personal hygiene practices and the intake of certain foods such as garlic and other spices which may be eliminated through the skin. If a person lives in a warm climate and undergoes exertion, the bacteria present in the underarm area will produce breakdown products that will give off an odor if the person doesn't bathe the moist areas.

A bad body odor can also be caused by hormonal fluctuations such as those seen in children who are undergoing puberty, women who are experiencing menopause, or persons experiencing extreme mental or physical stress. Certain persons may also be genetically predisposed to developing a strong body odor. These are all relatively "normal" causes of body odor.

More serious are the various disease states that can cause the development of a bad body odor. One of the most common medications that can cause a body odor is diabetes. This is particularly true when a person's blood sugars are poorly controlled and they develop a condition called ketoacidosis. This condition not only gives the breath a fruity smell but can also cause a distinctive body odor. This condition is considered to be a medical emergency and should be treated right away.

Bad body odor can also be a sign of serious liver or kidney disease where the body is incapable to processing and removing certain toxins due to the diseased organ. These conditions can be ruled out by blood tests which measure kidney and liver function.

Occasionally, an overactive thyroid can cause a problem with body odor due to the tendency of the patient to sweat excessively due to the hyper functioning thyroid gland. This is another condition that can be ruled out from physical examination and blood studies.

Less commonly, bad body odor can be caused by certain metabolic problems that a person is born with which causes certain metabolic breakdown products to be released through the skin.

If you've tried all the conventional remedies for body odor without success, it might be best to see your doctor and have some simple blood tests run to rule out more serious medical conditions as the cause of your body odor.(Published by Kristie Leong M.D. - Featured Contributor in Health & Wellness)
 
nimedhamiria kuacha na natumaini mungu atanisaidia na ninampango wa kuoa baada ya tiba sahihi

Nakuamini:

Chukuwa asali safi, chukuwa unga wa mdalasini.

Chemsha mdalasini kwenye maji ya moto kama chai, kisha chukuwa vijiko viwili au vitatu vya asali, koroga kwenye kikombe kimoja cha chai, kunywa kama chai kila siku mara tatu au zaidi. Wiki moja mambo yote swafiii kabisa. Unaweza kuendelea na hicho kinywaji hata ukiwa mzima.
 
It's easy to make lighthearted humor about a bad body odor, attributing it to poor hygiene and the need to "take a bath", but body odor can sometimes be the principle sign of a serious health condition. If the source for body odor is medical, no amount of personal hygiene care will cure the body odor problem.

Most cases of body odor will be shown to have a relatively simple cause such as poor personal hygiene practices and the intake of certain foods such as garlic and other spices which may be eliminated through the skin. If a person lives in a warm climate and undergoes exertion, the bacteria present in the underarm area will produce breakdown products that will give off an odor if the person doesn't bathe the moist areas.

A bad body odor can also be caused by hormonal fluctuations such as those seen in children who are undergoing puberty, women who are experiencing menopause, or persons experiencing extreme mental or physical stress. Certain persons may also be genetically predisposed to developing a strong body odor. These are all relatively "normal" causes of body odor.

More serious are the various disease states that can cause the development of a bad body odor. One of the most common medications that can cause a body odor is diabetes. This is particularly true when a person's blood sugars are poorly controlled and they develop a condition called ketoacidosis. This condition not only gives the breath a fruity smell but can also cause a distinctive body odor. This condition is considered to be a medical emergency and should be treated right away.

Bad body odor can also be a sign of serious liver or kidney disease where the body is incapable to processing and removing certain toxins due to the diseased organ. These conditions can be ruled out by blood tests which measure kidney and liver function.

Occasionally, an overactive thyroid can cause a problem with body odor due to the tendency of the patient to sweat excessively due to the hyper functioning thyroid gland. This is another condition that can be ruled out from physical examination and blood studies.

Less commonly, bad body odor can be caused by certain metabolic problems that a person is born with which causes certain metabolic breakdown products to be released through the skin.

If you've tried all the conventional remedies for body odor without success, it might be best to see your doctor and have some simple blood tests run to rule out more serious medical conditions as the cause of your body odor.(By Kristie Leong M.D. - Featured Contributor in Health & Wellness)
 
Pole sana, hapo ndugu yangu licha ya ushauri wa humu ndani usisahau kwenda hospitali kwa tiba sahihi.
 
Mkuu DUME condom siku hizi jelo tu jaribu kuwa unatumia utapoteza uzao

huwa na tumia lakini nyingi au mara nying huwa zinapasuka sasa labda sijui kutumia au inawezekana pia zikawa na ubora mdogo labda nikitumia zile za elfu mbili na mia tano
 
pole sana kwa kweli unaumwaa japo inawezekana kuna mut kakutuma lakini naamini humu majibu utapata bure watu wana upako wa kutoa ushauri bure(haya nyie rafikizake serikali msaidieni basi mwanaume mwenzenu uanaume wake uko haarini msiuchune au kugoma ala!si chakuwalipa hatuna tunatanguliza shukrani zetu kwa matibabu ya bure mtakayompatia yeye na wengine wasiosema)

ok nashukuru sana kwa ushauri wako nitaufanyia kazi na nitaleta majibu
 
It is easy to make lighthearted humor about a bad body odor, attributing it to poor hygiene and the need to "take a bath", but body odor can sometimes be the principle sign of a serious health condition. If the source for body odor is medical, no amount of personal hygiene care will cure the body odor problem.

Most cases of body odor will be shown to have a relatively simple cause such as poor personal hygiene practices and the intake of certain foods such as garlic and other spices which may be eliminated through the skin. If a person lives in a warm climate and undergoes exertion, the bacteria present in the underarm area will produce breakdown products that will give off an odor if the person doesn't bathe the moist areas.

A bad body odor can also be caused by hormonal fluctuations such as those seen in children who are undergoing puberty, women who are experiencing menopause, or persons experiencing extreme mental or physical stress. Certain persons may also be genetically predisposed to developing a strong body odor. These are all relatively "normal" causes of body odor.

More serious are the various disease states that can cause the development of a bad body odor. One of the most common medications that can cause a body odor is diabetes. This is particularly true when a person's blood sugars are poorly controlled and they develop a condition called ketoacidosis. This condition not only gives the breath a fruity smell but can also cause a distinctive body odor. This condition is considered to be a medical emergency and should be treated right away.

Bad body odor can also be a sign of serious liver or kidney disease where the body is incapable to processing and removing certain toxins due to the diseased organ. These conditions can be ruled out by blood tests which measure kidney and liver function.

Occasionally, an overactive thyroid can cause a problem with body odor due to the tendency of the patient to sweat excessively due to the hyper functioning thyroid gland. This is another condition that can be ruled out from physical examination and blood studies.

Less commonly, bad body odor can be caused by certain metabolic problems that a person is born with which causes certain metabolic breakdown products to be released through the skin.

If you've tried all the conventional remedies for body odor without success, it might be best to see your doctor and have some simple blood tests run to rule out more serious medical conditions as the cause of your body odor.(Published by Kristie Leong M.D. - Featured Contributor in Health & Wellness)
Wewe ni Mkenya? hebu mwandikie kwa Kiswahili haya sasa ndio tungeyapata kama Serikali Wangeleta Madaktari kutoka Irani lazima wawepo na wakalimani!
 
mmh Pole sana Mzizi Mkavu atakuja kukusaidia
Nimesha kuja Mkuu FirstLady1

Pengine hajasikia MziziMkavu ita kwa Nguvu FirstLady1
Mkuu Duduwasha Hujambo lakini....?

Njia ya Kuondowa harufu mbaya mwilini

Kila mtu ana jasho au harufu ya kipekee mwilini na ndiyo maana kila mtu ana mahitaji ya kipekee katika kutunza mwili wake. Viungo vifuatavyo ndivyo hasa vinavyotoa harufu mbaya:

Kinywa

Kuna wakati kinywa hutoa harufu mbaya isiyovumilika. Wapo ambao hata wakipiga mswaki kwa kutumia dawa ya meno mara hata 100 harufu hubaki pale pale.

Tatizo hili husababishwa na matumizi ya mara kwa mara ya kahawa, vyakula vyenye viungo vingi kama pilau, uvutaji wa sigara, pombe au mdomo wa mhusika mwenyewe.

Suluhisho

Ni vema mtu mwenye tatizo hili akanunua maji ya kusukutua mdomo yajulikanyo kama ‘Hydrogen Peroxide Mouth Wash’, yanayopatikana katika maduka ya dawa kwa bei isiyozidi Sh 1,500 kwa kichupa.

Anachotakiwa mtu kufanya ni kupiga mswaki na kisha ajaze kifuniko cha kichupa hicho na kusukutua kwa kama dakika mbili hivi, kisha ateme. Baada ya hapo anaweza kusukutua kwa maji ya kawaida.

Hakika hata kama ulikunywa kreti ya bia au kula sufuria zima la vitunguu, harufu ya mdomo wako itabaki nzuri na hutamkwaza mwenzi wako wa yeyote.
Waweza kusukutua asubuhi na jioni kabla ya kulala. Kutafuna karoti moja baada ya kula pilau au chakula chenye viungo vikali, au limao baada ya kula samaki nayo husaidia iwapo mhusika hana tatizo la vidonda vya tumbo (hasa kwa upande wa kutumia limao).

Kwapa

Kwapa ni moja ya maeneo yanayoleta kadhia kubwa kwa wengi. Harufu inayotoka huitwa kikwapa. Baadhi ya vyanzo vya tatizo hili ni uvivu wa kuoga na kuacha nywele nyingi kwapani, na wakati mwingine hukaa hivyo hadi zinabadilika rangi na kuwa nyeupe au njano na kujisokota kama ‘dreads’.

Jasho lina kawaida ya kukaa kwapani zaidi kuliko sehemu yoyote mwilini. Kama ilivyo kwa mdomo, kuna baadhi ya watu hata waoge vipi, bado hutoa harufu ya kikwapa. Hii humfanya mtu akose raha na asijue la kufanya.

Suluhisho

Unapokuwa na tatizo hili, ni vema ukaoga kwa sabuni ya magadi kwa sababu zina nguvu ya kukabiliana na tatizo hili. Pili ni vema kila mtu akawa msafi kwa kunyoa nywele za kwapa angalau mara mbili kwa wiki ili kuruhusu sabuni na maji yafike katika ngozi ya sehemu hiyo.

Baada ya kunyoa waweza kupaka mafuta ya nazi ili kuondoa muwasho. Zaidi ya hapo ni vema tukatumia ‘deodorant’ – manukato ya wanaume au yoyote yale yenye harufu nzuri kwa jinsia. Wapo pia kina mama wanaonuka kikwapa.

Usisahau pia kuoga kabla ya kulala. Waweza pia kutumia manukato yasiyo makali au ‘body spray’ zenye harufu nzuri kiasi kutokana na uwezo wako, ili kukufanya unukie vizuri.

Sehemu za siri

Nadhani wengi tunaelewa maana yake. Tatizo hili pia hukera na kumkosesha raha mlengwa. Sababu kubwa za kutoa harufu ni pamoja na kutooshwa au kusafishwa mara kwa mara hasa - mtu anapomaliza haja zake za namna yoyote. Pia kutobadili nguo za ndani mara kwa mara.

Suluhisho

Kwanza hatuna budi kuwa na tabia ya usafi kwa kuoga walau mara mbili kwa siku. Kunyoa sehemu hizo pia walau mara mbili kwa wiki. Kina mama nao wawe makini zaidi wakati wa siku zao, kwa kuoga na ‘kuvaa nguo maalumu’ kwa sehemu hizo.

Vilevile, tusianike ndani au kuvaa nguo zenye unyevunyevu, kwani huleta fangasi. Kama umeshindwa kuanika nje, basi piga pasi kabla ya kuvaa. Sehemu za siri ndio kama Ikulu yetu.

La mwisho kwa kina mama, ni vema tukafanya usafi mara moja baada ya ‘sakramenti’ na vivyo hivyo kwa wenzi wetu ili harufu ya chumba iwe nzuri. Tusisahau matandiko ambayo nayo ni vema yakawa safi. Pia nawa vema na maji au tumia karatasi ya chooni mara umalizapo kujisaidia.

Miguu

Miguu nayo hutoa harufu wakati mwingine, hasa kwa kina baba wanaovaa viatu na soksi – iwe wakati wa joto au mwingine wowote. Tatizo hilo huweza pia kuwakumba hata kina mama.

Suluhisho

Kila mtu anaoga. Lakini ni rahisi kuoga na kusahau kuosha kikamilifu miguu na nyayo. Hakikisha unaosha miguu yako asubuhi na jioni. Kausha miguu hasa katikati ya vidole na kisha nyunyuzia poda maalumu inayoitwa ‘Cotrimazole’ na pia kwenye soksi.

Poda hii inapatikana katika maduka ya dawa kwa kati ya Sh 3,500 na Sh 4,000. Kuna poda nyingine inaitwa Mycota, waweza pia kununua na kutumia japo bei yake ipo juu kidogo.

Nywele

Nimalizie kwa kuzungumzia nywele hasa kwa kima mama. Ni vema wakaosha nywele zao angalu mara moja kwa wiki - wana matengenezo yao ya nywele, hilo tutalizungumzia siku yake maalumu - na kuvaa kofia ya wavu wakati wa kulala ili zisitoe jasho sana kwani nayo ni kadhia kubwa.
 
Last edited by a moderator:
huwa na tumia lakini nyingi au mara nying huwa zinapasuka sasa labda sijui kutumia au inawezekana pia zikawa na ubora mdogo labda nikitumia zile za elfu mbili na mia tano

Sasa ikipasuka unaendelea kusugua chuku chuku?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom