Mwili unakosa nguvu nashidwa hata kusex

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,264
Wakuu heshima kwenu.

Last week niliumwa malaria na kama ilivyo ada kwa sisi waafirika malaria ni sehemu ya maisha.nilimeza dawa na doze ikaisha na sasa nimepona kabisa ila sasa nimeshajaribu ku sex na mke wangu mara mbili nikawa nakojoa dadika tu na hapo mdudu analala fofofo.

sasa amekataa kufanya hadi niwe sawa.ila sio siri mwili hauna nguvu na hata hamu ya mapenzi sina na si kawaida yangu kabisa, sijui nifanye nini au nile nini nguvu zirudi.

Msaada kwenu
cc : Mzizi Mkavu
 
Last edited by a moderator:
Umetumia dawa za malaria hata wk 2 hazijaisha unafanya sex? inashauriwa kitaalamu utulie wk 2 baada ya kutumia dawa ya malaria la sivyo itajirudia tena kwa vile mwili unakuwa hauna nguvu.
 
Duh Pole sana na nakuonea huruma sana rafiki, kwanini usitulie kwanzza ukapata nguvu Mpwa? kuku wako manati ya nini? Utakufa juu ya mzigo utatuachia matatizo, relax pata nguvu halafu cheza gemu ya maana tena siku hio uniambie nikutumia japo kijiko cha asali ya Nyuki Wadogo, you will enjoy saaaaaaaana hadi upige kelele.

Kwa sasa mmezeee mate tu na kumlia timing, kila akipitia kwa kukutega wee cheka kimoyOmoyo tu huku unajisemea kuwa muda WAKO UTAFIKA TU
 
mkuu NGULI nakubaliana na wewe ila huo uvumilivu wa kukaa wiki mbili,sikufichi sina!labda awe mbali na mimi.
nipe tiba sasa nguvu zirudi
 
Last edited by a moderator:
NGULI nimegundua ndio maana siachi kuumwa malaria kila mara yaani siwezi kaa miezi miwili pasipo malaria
 
Last edited by a moderator:
Umetumia dawa za malaria hata wk 2 hazijaisha unafanya sex? inashauriwa kitaalamu utulie wk 2 baada ya kutumia dawa ya malaria la sivyo itajirudia tena kwa vile mwili unakuwa hauna nguvu.

NGULI, Nguli, Nguli,

Malaria haisababishwi na stress za ngono bali inasababishwa na vimelea aina ya Plasmodium....Kwa hiyo sioni connection ya sex na kushindwa kupona....

Ila kama mwili bado umechoka, hakuna sababu yoyote ya msingi kujilazimisha kufanya ngono/mapenzi hata kwa mke/mume wa ndoa...!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
mkuu NGULI nakubaliana na wewe ila huo uvumilivu wa kukaa wiki mbili,sikufichi sina!labda awe mbali na mimi.
nipe tiba sasa nguvu zirudi

NGULI nimegundua ndio maana siachi kuumwa malaria kila mara yaani siwezi kaa miezi miwili pasipo malaria

Please Marire and NGULI, take your time to read and educate yourself about malaria....

Soma ziaid hapa....Malaria Site: What is Malaria - Intoduction, Burden of Malaria

Watu watawashangaa mkiendelea kuhisi kuwa sex inasababisha au kuchangia mtu kuumwa malaria....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ayaaaaaa!!Pole sana mkuu Marire!!So hata baada ya BSS final ulishindwa tena??? Tafuta treatment mkuu bse hii hali sio nzuri.
 
wote mlioniandikia hamjanipa tiba.naomba mnipe tiba ya kurudisha nguvu ili nimtosheleze wifi/shemeji yenu kama zamani
CC:mad:NGULI
Dark City....
 
Last edited by a moderator:
Ayaaaaaa!!Pole sana mkuu Marire!!So hata baada ya BSS final ulishindwa tena??? Tafuta treatment mkuu bse hii hali sio nzuri.

jamaa yangu kaazi kweli kweli hadi nimeamua kuja huku ujue yamenifika mkuu hata hivyo nimeweka update
 
jamaa yangu kaazi kweli kweli hadi nimeamua kuja huku ujue yamenifika mkuu hata hivyo nimeweka update

Ni imani yangu kua wadau watakwambia ni nini cha kufanya arifu! Cha msingi tu usikate tamaa na i believe utakuwa okay soon brow!
 
NGULI, Nguli, Nguli,

Malaria haisababishwi na stress za ngono bali inasababishwa na vimelea aina ya Plasmodium....Kwa hiyo sioni connection ya sex na kushindwa kupona....

Ila kama mwili bado umechoka, hakuna sababu yoyote ya msingi kujilazimisha kufanya ngono/mapenzi hata kwa mke/mume wa ndoa...!!

Babu DC!!

sijaandika kuwa sex inasababisha malaria la hasha nimeandika kuwa ukiwa kwenye dose ya malaria mwili unahitaji sana virutubisho kwa vile dawa zina nguvu sana zinauchosha mwili na wewe unakimbia tena km 21 hapo! hapo je mwili uta recover vizuri?
 
Last edited by a moderator:
wote mlioniandikia hamjanipa tiba.naomba mnipe tiba ya kurudisha nguvu ili nimtosheleze wifi/shemeji yenu kama zamani
CC:mad:NGULI
Dark City....

Unataka tiba gani zaidi ya kupumzika na kupata lishe bora?

Just take your time and remember, sex is not O[SUB]2[/SUB]!!

Babu DC!!
 
wote mlioniandikia hamjanipa tiba.naomba mnipe tiba ya kurudisha nguvu ili nimtosheleze wifi/shemeji yenu kama zamani
CC:mad:NGULI
Dark City....
wewe unataka tiba lkn nashangaa aina ya tiba uitakayo kwamba ni lazima iwe dawa..................sikutofautish na bibi yangu mzee ambaye kila akiugua bila kuchomwa sindano haoni kama anatibiwa.

sasa hivi wenzio tunaukimbia ulimwengu wa madawa wewe bado unaukumbatia, Dark City kakupa tiba lkn bado hujamuelewa haya mie namalizia kwasababu unataka dawa basi wasiliana na Dark City mie nitampatia MUNDEX akuletee ili uridhike.
 
Last edited by a moderator:
Chalii uliambiwa ni LAZIMA kusex? Inaonekana kama hujafanya icho kitu unakua na maswali yakujibu kutoka kwa shemeji
 
Mwenzenu huwa nikiumwa malaria nikipiga tu ile dose ya kwanza damu huwa inachemka kitu kinasimama balaaa. Mara nyingi nikiumwa malaria nakuwa active balaa, wife anabaki kushangaa tu mgonjwa gani huyuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom