mwili kuwaka moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwili kuwaka moto

Discussion in 'JF Doctor' started by Mtende, Feb 3, 2012.

 1. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  doctors nisaidieni,
  kuna wakati huwa nasikia mwili unawaka moto especialy sehemu za mapaja tena panakua na maumivu,hivi hii inasababishwa na nini na tiba yake ni nini?
   
 2. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0


  pole sana - nenda kapime kiasi cha sukari mwilini mwako
   
 3. mujusi

  mujusi JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 237
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Inawezekana mishipa ya fahamu haifanyi kazi vizuri labda kwa vile inabanwa na mifipa au muscles. jaribu kwenda kwa daktari akupe ushauri na sijui tatizo lako ni la muda gani na kazi zako za kila siku ni zipi. Pia jaribu kufanya mazoezi laini ya kunyooosha misuli ili mishipa ya fahamu na damu iweze kuflow vizuri na kwa urahisi.
   
Loading...