Mwili kuwa na umeme baada au wakati wa kufanya mapenzi

Mkuu jaribu angalau kwa siku mara mbili unavua viatu na soksi unakanyaga chini chaji zote zinaenda ardhini. Ni muhimu kuwa na mazoea ya kufanya hivyo kwamtu yeyote.
 
Majibu sahihi atakupa Professor Muhongo kama humu tunae, kwahiyo jiandae kuchukua peni na karatasi.
 
Habari wana jamvi?nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya hili jambo leo nimeona niliweke jukwaani ili watu waliokutana nalo au wenye uelewa waweze kunipa elimu.

Imenitokea mara kadhaa ninapo-kiss na partner wangu huhisi kitu kama shoti ya umeme. Pia mara kadhaa nimekuwa nikikutana na hii hali baada ya kutoka kufanya mapenzi. Kwa mfano, siku moja baada ya kumaliza tendo nilitoka na mpenzi wangu kwenda kutembea kuna mahali tuligusana tukahisi kitu kama shoti na kila mtu alishituka.

Siku nyingine after sex nilikwenda restaurant kwa ajili ya chakula, niligusa chombo cha kuwekea sabuni tu nilikutana na hali hiyo.Nilichunguza na kujua kuwa sex ni chanzo but nataka kujua hali hii ipoje scientifically and spiritually.
Jinsia yako????
 
Back
Top Bottom