Mwili kutoa harufu (body odor): Chanzo, jinsi ya kuzuia na matibabu yake

Msaada kwa mwenye uelewa zaidi nini kisababishi cha kutoa harufu mbaya mwili? Tiba yake, pamoja na njia zingine za kuondo tatizo hilo.
 
Habari za wakati huu wana jf, wenzagu popote pale, mlipo dununian!

mimi ni kijana ambaye bado sijaoa lakini nina mchumba wangu ambaye ninampenda sana, hata yeye naamini ananipenda.

japo kuwa nampenda lakini ana tatizo la kunuka kikwapa na ukimaliza kufanya sex naye ana tatizo la kutoa harufu chafu sana. hali hii hunifanya kutokufurahia kabisa tendo takatifu kutoka kwa mungu,,,

kutokana na tatizo lake hilo limenifanya kuwa na wasiwasi mkubwa sana hata kumuoa.

japo kuwa anaonga kila baada ya mda mchache lakn tatizo hili limeendelea kumtokea pindi tu, mwili unapohisi joto.

nishawahi kumuelezea lakn akawa mkali sana
na pindi tu, ninapojaribu kungusia juu la tatizo lake la kunuka huwanga ananichukia sana

wana jf wenzangu pamoja na great thinkers wote naombeni ushauri wenu,
kuhusiana na matatizo ya mpenzi wangu

Nini hasa chanzo kikuu cha kunuka kikwapa,?

je,? nimshauri atumie dawa ngani ili kuondoa tatizo lake.

asanten sana
 
Hata mm nna tazto la kwapa lalini najtunza na u cnt catch me kama nna tatzo la kwapa,Kwanza mwambie atumie body spray ya DRY COMFORT product ya NIVEA ina chupa nyeupe. Lakini pia aache kutumia spray zenye harufu kal kwa kujpulizia kwapan atnazdsha tatzo, aache kabisa atumie hyo. Au wewe mnunulie.Ajpulizie kwenye kwapa. Then pga mzgo. Kwa tatzo la kwapa atamalza kabsa tatzo hlo ilo huko chini mmmh. Subr madokta waje.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Anakua mkali ili iweje wakat ana matatizo,hatak kuambiwa ananuka..pole ila mnunulie deodurant ya NIVEA dry comfort itamsaidia ikidunda atumie ndimu au maj ya mchele,huko chini yaweza kua infection akachek U.T.I na mengineyo.
 
kuhusu tatizo la huko chini dawa ipo inaitwa FEMICARE . akitumia kwa siku 7 tu tatizo kwisha. ni pm au nipigie 0759077008 nikuelekeze jinsi ya kuipata.
 
Hata mm nna tazto la kwapa lalini najtunza na u cnt catch me kama nna tatzo la kwapa,Kwanza mwambie atumie body spray ya DRY COMFORT product ya NIVEA ina chupa nyeupe. Lakini pia aache kutumia spray zenye harufu kal kwa kujpulizia kwapan atnazdsha tatzo, aache kabisa atumie hyo. Au wewe mnunulie.Ajpulizie kwenye kwapa. Then pga mzgo. Kwa tatzo la kwapa atamalza kabsa tatzo hlo ilo huko chini mmmh. Subr madokta waje.

Asante,,,! sana
 
Hiyo dry comfort hata me nilikua natumia ilhali sikuwa na tatizo la kikwapa ila ni nzuri sana smell yake sio kali ni nzuri sana na haunuki kijasho kabisa halafu ipo na deodorant yake pia

Shy land mnunulie mpenzi wako itamsaidia sana
 
Last edited by a moderator:
Nyie wenye matatizo ya kikwapa, jisugueni na ndimu tu kutwa mara tatu na mkoge hizo mara tatu kutwa.

Hao ni bacteria waliochanganyika na fungus.

Mhakikishe kila mnapooga hamrudii nguo za juu. Mashuka mnabadilisha na hamrudii taulo hilo hilo kabla halijafuliwa kwa maji ya moto na nguo na mashuka pia mfue kwa maji ya moto.

Hayo manukato mnayojitia yanaondoa harufu kwa muda tu hayaondoi tatizo.

Pia kunyweni shubiri na mjipake makwapani utomvu wa mshubiri mwitu aka Aloevera.

Pia mkumbuke, mkinuka kwapa tatizo halipo kwapani pekee lipo mwili mzima kwa hiyo inabidi hiyo treatment niliyowapa iwe kwa mwili mzima.

Kijichubuwa (mkorogo) ngozi ya asili pia kunaleta mtu kutoa harufu mbaya sana na minywele yakubandika nayo inanuka baada ya kuitumia siku moja tu. Na hata ukilala na wanaojichubuwa na wanaovaa minywele ya kubandika wanakuambukiza mnuko. Acheni.
 
Hiyo dry comfort hata me nilikua natumia ilhali sikuwa na tatizo la kikwapa ila ni nzuri sana smell yake sio kali ni nzuri sana na haunuki kijasho kabisa halafu ipo na deodorant yake pia

Shy land mnunulie mpenzi wako itamsaidia sana

Asante sana,,! je,!? vipi upatikanaji wake unaweza ukaipata hata huku mikoani.
 
Last edited by a moderator:
Dada mkubwa FaizaFoxy kamaliza. Anyoe nywele za makwapa, ajisugue na ndimu ama limao kama wiki tu. Jasho la mtu halinuki manake ni maji, kinachonuka ni byproduct baada ya bakteria walio juu ya ngozi kufanya mlo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom