Mwili kutoa harufu: Chanzo na tiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwili kutoa harufu: Chanzo na tiba

Discussion in 'JF Doctor' started by special agent, Sep 2, 2012.

 1. s

  special agent JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 328
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wana JF habari za leo J,pili siku iliyo tulivu kabisa, Jamani ninaomba msaada kunakipindi mwili wangu unakuwa unatoa harufu kama panya aliye oza.

  Nimekwisha kwenda hospitali na nikapewa dawa ya kupakaa kwenye korodani lakini bado hali ni ile ile. Kiufupi kuna kipindi nilikuwa kila nikilala na mwanamke kwa maana ya sex naye nilikuwa napata gono na nilikuwa natibiwa na dawa za ciploflaxin mpaka dozi inaisha na ninapona sasa je kwa kitaalamu hili ni tatizo gani na tiba yake ni ipi?

  Nimeambiwa niogee maji yaliyowekewa shabu lakini bado inakela sana ni ninakosa raha jamani kwani muda wote nalazimika kukaa peke yangu. Jamani naomba msaada.

  Mwili wangu huwa unanuka mpaka sina raha ya kuishi
   
 2. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  pole sna mkuu! Lakini achana na ngono zembe kaka..
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wewe wanawake hua unawapataga wapi?
   
 4. c

  christmas JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,606
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  nimekuonea huruma sana mkuu, ngoja wataalam watakuja nina hakika utasaidika tu kaka, nimejaribu kuifikiria hiyo hali unapokaa peke yako, nimehisi kulia
   
 5. Zabibu

  Zabibu JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  aiseee pole sana
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ntakupa dawa itayokuondolea hayo matatizo ukiahidi kuwa hautofanya zinaa tena na tendo la kujamiiana utalifanya ndani ya ndoa tu.
   
 7. y

  yoyo Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole Bro kwa hayo,ila uwe makini ufanye ngono salama jamani na pia jaribu kwenda hospital uonenane na maspecialist kwa msaada zaidi ...naomba kujua hiyo shabu inapatikana maduka yepi sababu naskia inazuia ama kupunguza jasho sijui kweli
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mmh Pole sana Mzizi Mkavu atakuja kukusaidia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. s

  special agent JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 328
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nilikwisha acha kaka muda mrefu tu
   
 10. s

  special agent JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 328
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ninawapenzi wawili nilifanyanao wote siku moja muda tofauti lakini bado sikuridhika nikaenda kununua barabarani lakini condm ili chanika kwa sababu nanii yangu huwa ni ndefu na nina tumia nguvu sana kufanya hivyo mara kwa mara huwa condm zinachanika ila kwa hili tatizo nitajitahidi kujizuia na nina mpango wa kuoa ili ni tulie eehe mungu nisaidie
   
 11. s

  special agent JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 328
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ahsante dada haya n matatizo ya dunia na kuna siku yataisha nasubiri ushauri zaidi
   
 12. s

  special agent JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 328
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nashukuru
   
 13. s

  special agent JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 328
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nimedhamiria kuacha na natumaini mungu atanisaidia na ninampango wa kuoa baada ya tiba sahihi
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Kama umetembea na mke wa Mpemba au kudhulumu pesa za Mpemba...
  haya...utamaliza hospitali zoote
   
 15. s

  special agent JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 328
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  asante nasubiri wataalamu na hospitali nakusanya pesa ili niende kwa mara nyingine shabu inapatikana maduka ya dawa za kienyeji
   
 16. s

  special agent JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 328
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sawa namsubiri
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Duu hii nayo kiboko..... Pole sana mkuu mambo yakaa sawa ngoja wadau waje kukupa dodoso za matibabu yake. Hakuna kisichowezekana mkuu.
   
 18. s

  special agent JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 328
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  asante sana bosi si unajua ujana una mambo mengi mkuu usiombe yakukute
   
 19. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,381
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Kuna mbwa wangu akisikia hata harufu ya kiatu tu basi atakirarua na usikitamani sasa bwashee huyu dogi sijui ange kuona angekufanya nini???
  Kama hata pafyum ime dunda!we
  kaishi porini na Nyani tu!
   
 20. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Namuonea huruma huyo utakae muoa..maana atarithi magonjwa
   
Loading...